Recent content by Spiritual Seeker

  1. Spiritual Seeker

    GITARAMA: Jehenamu duniani!

    Huo ndio ukweli.ila kwa kuwa tumekuwa indoctrinated tangu utotoni ishu kama hii haikai akilini kabisa.
  2. Spiritual Seeker

    Nini Maana ya Transcendental Meditation (Tafakuri inayopita mipaka ya akili)?

    Kwa mfano,ukiwa umetulia na kuelekeza ufahamu wako wote kwenye sehemu moja labda tuseme kwenye pumzi vile inavyotoka na kuingia,hatimaye ukawa mmoja na pumzi,una kuwa upo kwenye hali ya kumeditate, hivyo njia hii ya kuwa mmoja na pumzi ikaitwa breath meditation au meditation ya pumzi, lakini pia...
  3. Spiritual Seeker

    Ufahamu kuhusu kifo

    Ok.kumbe unajaribu kumzungumzia mungu wa kwenye dini.
  4. Spiritual Seeker

    Ufahamu kuhusu kifo

    Hivi mwanadamu anauwezo gani mpaka afikie kumchukiza Mungu? Mungu hana hisia bwana.hisia /emotion ni moja ya mapungufu kwenye maumbile.Mungu hana mapungufu. Mungu ni hali ya ukamilifu.
  5. Spiritual Seeker

    Kama hatukuomba kuzaliwa, kwanini tunaogopa kufa?

    Muda ukifika unaachia mwili(kifo), muda ukifika tena unachukuwa mwili(kuzaliwa) na kuja tena duniani. Siajabu hii sio mara yako ya kwanza kuja duniani, ingawa ni vigumu kukumbuka, Maumbile hayana mwanzo wala mwisho ni ya milele sema hayajui yametokana na nini.
  6. Spiritual Seeker

    Chanzo cha vifo vya usingizini

    Mwanadamu ni mkusanyiko wa mwili zaidi ya mmoja. Utu(personality) imeundwa na miili 3 yaani kwa lugha ya wenzetu ni physical body, astral body lower mental body. Tunapokua usingizini ufahamu una hama kutoka kwenye ulimwengu huu tuliouzoea(physical plane/universe) na kuingia kwenye ulimwengu...
  7. Spiritual Seeker

    Nini Maana ya Transcendental Meditation (Tafakuri inayopita mipaka ya akili)?

    Meditation ni pale unapokuwa mmoja ni kile unachokifanyia meditation, zipo schools nyingi tu za meditation.pia kuna dhumuni la kila meditation. Mfano kupata tulizo la ndani(stillness),kukuza ufahamu, ku-manipulate maumbile nk. Transcendental meditation(MT) dhumuni lake haswa ni kupata tulizo la...
  8. Spiritual Seeker

    Mwili wa Ndesamburo kuzungushwa mitaani Moshi ni utesaji

    Mtu akifa anakuwa ameachia mwili. Chochote kinachotokea kwenye physical plane hakimuhusu, ufahamu wake unahamia kwenye plane nyengine ijulikanayo kama astral plane. So tukiumbia, tukiuzungusha, au vyovyote vile marehemu hawezi kuumia au kuteseka, AMEUACHIA MWILI.
  9. Spiritual Seeker

    Tafsiri za Namba ki-Biblia;Kitendawili unachopaswa kukitegua.

    Bible ni kitabu kilichobeba masomo mengi, ukiachana na spirituality ndani yake kuna masomo kama numerology(somo la namba), astrology(au huitwa astro-theology) mfano samaki wawili ambao yesu alilisha watu ni moja ya zodiac sign ambazo zipo 12,wale samaki wawili ni sign of picses. Pia kwenye...
  10. Spiritual Seeker

    Sababu zinazonifanya nisimpende Mungu

    Umesema ni mawazo yako, hivyo hapo hakuna shida, inawezeka ukawa unatumia akili au akili inakutumia wewe. Mungu au Umungu ni hali ya umoja, umungu ni umilele, mungu hana uhysiano kabisa na muda ni timeless, mungu ni formless,mungu hausiani kabisa na maumbile/creation.Mungu hali ya...
  11. Spiritual Seeker

    Gwajima: Reincarnation ya Mtikila(RIP)?

    Reincanation ipo moja tu.
  12. Spiritual Seeker

    Gwajima: Reincarnation ya Mtikila(RIP)?

    Kabla ya Mtikila(R.I.P) haja achia mwili Mchungaji Gwajima tayari ameshazaliwa.hii ni aina gani ya reincanation tena?
  13. Spiritual Seeker

    Laini za uwakala zinauzwa

    Laini wakala wa M-pesa, Tigopesa, Airtelmoney na Halopesa zinauzwa,bei ni 450,000/= kwa zote nne. Kama una hitaji nitafute kupitia 0755-400005 au 0719-733338
  14. Spiritual Seeker

    Line ya tigo pesa inauzwa

    Kwa anae hitaji hizo laini anitafute. Mimi nauza zangu, yani tigopesa, mpesa, airtelmoney na halopesa. Zote nne kwa 450,000/= Haipungui,napatikana kwa namba hizi 0755400005/ 0719733338
  15. Spiritual Seeker

    Kifo kabla ya uzee, ni mpango wa Mungu?

    Mungu/umungu ni state ambayo haina mwanzo wala mwisho, ipo beyond time au ni timeless, ni ya milele, ni unity, kwa mungu hakuna tofauti kati ya death and birth,ni hali moja, God is limitless, ipo kila mahali, haina umbo/formless,state ambayo ipo kila mahali na ni kila kitu obvious itakuwa...
Back
Top Bottom