Mwili wa Ndesamburo kuzungushwa mitaani Moshi ni utesaji

Jeshi la polisi halistahili Kuruhusu hili...

Nyerere hakuzungushwa mtaani...

Wakati mwingine ujinga ukemewe..
 
Kwa nin hampendi kusoma na kuelimika?kila mtu ana maamuzi yake ulisoma alipokufa rais misri magal abdel nasser? Msiwe mnakuwa wajinga kiasi kikubwa sana. Wakristo hawalazimishwi kama ambavyo pia wapo waislam ambao walishawatembeza maiti kabla ya kuzika na nmekupa mfano huo. Na si lazima kuunga mkono jambo la dini ya kiislam wewe ujifanye mkristo. Huna haja ya kujidai mkristo maana ungekuwa mkristo usingeongea pumba kama hii. Ukristo unaruhusu kuzika hata within 30 mins. Usione ujinga ni jambo la kujivunia
Binadam Akishafariki ni vema akahifadhiwa sehemu yake husika ambayo ni kaburini ndiyo maana ndugu zetu waislam hawana mambo kama haya
 
Kumbe marehemu anasikiaga maumivu!!!CCM bana,kila wanachofanya chadema wanaumia rohi.Zuieni hiyo nayo
 
Johannesburg - The remains of former president
Nelson Mandela will be paraded through the streets of Pretoria on the days he lies in state at the Union Buildings, the government said on Saturday.
"Every morning, when the remains leave the mortuary to the lying in state, those routes will be made public," GCIS chief director Neo Momodu told reporters in Johannesburg.
"We are going to be encouraging members of the public to be lining the streets... as [the body]... goes through the streets of Pretoria to the Union Buildings."

Tunangoja wewe ufe ili tukuzikie chumbani kwako.
Yani usione hata jua ili usiteseke.
kwa hiyo unamfananisha mandela na marehemu? how?
 
Taarifa kutoka Radio One zinasema mwili wa Ndesamburo.

utazungushwa mitaani manispaa Ya Moshi ikiwa kwenye jeneza la kifahari lililonunuliwa toka kenya eti kuwapa nafasi wananchi kuaga.Huu ni utesaji jamani. Watu wanafanya maiti kama maonyesho ya biashara ya kuzungusha mitaani.

CHADEMA naona kuna washirikina hivi kwa nini wanaonyesha kama wamefurahi kifo chake kwa kuona wamzungushe mitaani watu wajue kweli kafa.

Kuna ushirikina sio bure

Nawashangaa mnashangaa sioni cha ajabu hapo.Halafu imefanywa na Chadema ianwauma nini??
 
Kama ni kweli itakuwa ni ushenzi usio na kipimo kabisa.

Wala sioni ushenzi wowote,kama wangemuacha uchi sawa,lakini akiwa amehifadhiwa vizuri kwa heshima wala sioni tatizo,waache wafanye ni haki yao,wameamua kumuenzi hivyo katika siku zake za mwisho kabla hajawekwa kaburini.
 
Wanachotaka kufanya ni kutumia maiti kufanya maandamano ya CHADEMA.Kutokana na kuwa siku ya kutembeza hiyo maiti (maandamano ya kutumia hiyo maiti) itakuwa ni siku za kazi na biashara basi maiti ipewe njia ambayo haitasababisha shughuli za watu wengine kusimama au kuvurugika.Polisi wawapangie njia zisizo na wafanya biashara wengi au ofisi nyingi za serikali

Inakuuma nini?Waache wafanye kwani wamekulazimisha kwenda?
 
Hicho chama hakuna kiongozi hata mmoja mwenye hekima wote ni viongozi wanao waza maujiko tu na uhuni ni jambo la huzuni sana.
 
Mtu akifa anakuwa ameachia mwili. Chochote kinachotokea kwenye physical plane hakimuhusu, ufahamu wake unahamia kwenye plane nyengine ijulikanayo kama astral plane. So tukiumbia, tukiuzungusha, au vyovyote vile marehemu hawezi kuumia au kuteseka, AMEUACHIA MWILI.
 
Taarifa kutoka Radio One zinasema mwili wa Ndesamburo.

utazungushwa mitaani manispaa Ya Moshi ikiwa kwenye jeneza la kifahari lililonunuliwa toka kenya eti kuwapa nafasi wananchi kuaga.Huu ni utesaji jamani. Watu wanafanya maiti kama maonyesho ya biashara ya kuzungusha mitaani.

CHADEMA naona kuna washirikina hivi kwa nini wanaonyesha kama wamefurahi kifo chake kwa kuona wamzungushe mitaani watu wajue kweli kafa.

Kuna ushirikina sio bure
Swali....Familia ndiyo wamepanga iwe hivyo kuwa azungushwe mji wa Moshi ili watu wapate kumuaga kwa mpendwa Baba yao??
 
Hatujaona point yoyote hapa.Mwili wa Hayati baba wa taifa mbona ulizungushwa? Haukuwa utesaji?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom