Kama hatukuomba kuzaliwa, kwanini tunaogopa kufa?

Pure_sapiens

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2016
Posts
2,251
Reaction score
2,131
Kifo ni jambo ambalo tunaishi nalo kila leo, ukilala umelala na kifo,ukitembea unatembea na kifo,hata ukiwa wapi lazima kifo kiwepo.Kifo ni rafiki wa kweli kabisa tena zaidi ya wazazi wetu.
Hakuna hata mmoja wetu aliyefahamu kuwa Mimi/wewe nitazaliwa na kuishi katika dunia bali tumezaliwa kama bahati tu.Kwanini tumezaliwa kama bahati;Kuna wengi ambao hufariki kabla ya kuzaliwa na Kuna wengine hufa baada ya kuzaliwa.Kwa hiyo kuishi ni kama bahati.Kama kuzaliwa hatukuomba,kwanini hatupendi kufa?
 
Hizi threads za kujadili kufa ni za kuachana nazo sasa!

Kuna mambo hata ufanye nini huwezi kuyabadili na zaidi unavyozidi kuyazungumzia ni kujiumiza tu.

Wewe jali umeamka mzima mshukuru Mungu wako maisha yaendelee siku yako ikifika imefika.

Tuaje kujipa Faraja bandia.
 
Sio wote hatupendi kufa, kiimani wengine tunajua KUFA NI LAZIMA, KUISHI NI BAHATI
 
Hizi threads za kujadili kufa ni za kuachana nazo sasa!

Kuna mambo hata ufanye nini huwezi kuyabadili na zaidi unavyozidi kuyazungumzia ni kujiumiza tu.

Wewe jali umeamka mzima mshukuru Mungu wako maisha yaendelee siku yako ikifika imefika.

Tuaje kujipa Faraja bandia.
Unaogopa kufa?lakini kwani kuzaliwa uliomba hivi ni vitu vya bure tu
 
Watu wanaogopa kufa kwasababu wanakua wamesha onja utamu wa maisha,ni sawa na tajiri anayeogopa kuja kufilisika baada ya kutajirika.
 
Wewe huogopi kufa?
Nenda kibiti basi
 
Watu wanaogopa kufa kwasababu wanakua wamesha onja utamu wa maisha,ni sawa na tajiri anayeogopa kuja kufilisika baada ya kutajirika.
Mfano kama hauna nguvu katika hoja hii,tajiri amepigana kwa jasho hadi kuwa tajiri je wewe ulipigana hadi kuzaliwa,ukijuwa kifo hakiwezj kukupa uwoga
 
Muda ukifika unaachia mwili(kifo), muda ukifika tena unachukuwa mwili(kuzaliwa) na kuja tena duniani. Siajabu hii sio mara yako ya kwanza kuja duniani, ingawa ni vigumu kukumbuka, Maumbile hayana mwanzo wala mwisho ni ya milele sema hayajui yametokana na nini.
 
Kifo ni jambo ambalo tunaishi nalo kila leo, ukilala umelala na kifo,ukitembea unatembea na kifo,hata ukiwa wapi lazima kifo kiwepo.Kifo ni rafiki wa kweli kabisa tena zaidi ya wazazi wetu.
Hakuna hata mmoja wetu aliyefahamu kuwa Mimi/wewe nitazaliwa na kuishi katika dunia bali tumezaliwa kama bahati tu.Kwanini tumezaliwa kama bahati;Kuna wengi ambao hufariki kabla ya kuzaliwa na Kuna wengine hufa baada ya kuzaliwa.Kwa hiyo kuishi ni kama bahati.Kama kuzaliwa hatukuomba,kwanini hatupendi kufa?

Shida mchakato wa kufa.
Mara uugue,mara ulazwe? Mara ma oxygen nk.
Kifo kisingeambatana na magonjwa na kuteseka ingekuwa poa.
 
Mfano kama hauna nguvu katika hoja hii,tajiri amepigana kwa jasho hadi kuwa tajiri je wewe ulipigana hadi kuzaliwa,ukijuwa kifo hakiwezj kukupa uwoga
Mfano wangu umelenga kua mtu hua hataki kulose kitu ambacho amekigain,hata utajiri "riziki" hutoka kwa Mungu pia.
 
e31296e619af7dbaf0528869242da47d--truths-favorite-quotes.jpg
 
“I'm not afraid of death; I just don't want to be there when it happens
 
Kifo ni jambo ambalo tunaishi nalo kila leo, ukilala umelala na kifo,ukitembea unatembea na kifo,hata ukiwa wapi lazima kifo kiwepo.Kifo ni rafiki wa kweli kabisa tena zaidi ya wazazi wetu.
Hakuna hata mmoja wetu aliyefahamu kuwa Mimi/wewe nitazaliwa na kuishi katika dunia bali tumezaliwa kama bahati tu.Kwanini tumezaliwa kama bahati;Kuna wengi ambao hufariki kabla ya kuzaliwa na Kuna wengine hufa baada ya kuzaliwa.Kwa hiyo kuishi ni kama bahati.Kama kuzaliwa hatukuomba,kwanini hatupendi kufa?
Kwa nini kifo kiwe ni rafiki wa kweli kabisa kuliko wazazi wetu? Mimi naona kifo ni adui king'ang'anizi.
 
Back
Top Bottom