Gwajima: Reincarnation ya Mtikila(RIP)?

Gwajima: Reincarnation ya Mtikila(RIP)?

Mungu hadhihakiwi.Gwajima atalipa tu si muda mrefu.
Umenikumbusha ya huyu
mtikila.jpg
 
Gwajima anauthubutu wa kuongea baadhi ya mambo ila mambo mengine anayagwaya. Pia swala la Diamond ni uoga tu waDiamond mi nina uhakika wa100%, hata Diamond asingeomba radhi asingeongea chochote, freemason ni level nyingine si level ya Gwajima. Mara nyingi sana hawa wapiga mikwala ni member. Hata ishuu ya Mdee ametupiga tu changa, asingeongea chochote
 
Kabla ya Mtikila(R.I.P) haja achia mwili Mchungaji Gwajima tayari ameshazaliwa.hii ni aina gani ya reincanation tena?
 
Kabla ya Mtikila(R.I.P) haja achia mwili Mchungaji Gwajima tayari ameshazaliwa.hii ni aina gani ya reincanation tena?
Unafahamu reincarnation za aina ngapi? Fasihi unaijua kwa kiwango gani? Kwa mfano ukiambiwa Yanga imekufa kiume mbele ya waarabu unapata tafsiri gani?
 
Gwajima ana ubora wake , ila nadhani kuna mamraka anaigopa pia hataki kuiambia ukweli. Pia amejikita katka kushambulia watu binafsi siyo maswala yenye maslahi mapana kwa taifa.
 
Makonda asingemtaja Gwajima kama muuza unga halafu akakosa ushahidi Gwajima hangekuwa na sababu ya kumchimba alivyofanya. Wee stayfar unasema Mtikila hakuwa anamsema mtu? Unasahau alisema Lowasa ni marehemu anayetembea? Na kama wengine waliomtukana Lowasa kwamba ni mfu, Mtikila naye amekufa amemwacha Lowasa anadunda.
 
amekufa yeye anamucha anatembea.... Hivi bado nani?
 
Ndugu yangu biashara ina tabia ya kuzaliwa (kuanzishwa), kukua na kisha ku-disintergrate(kupomoroka taratibu). Ukichunguza mawazo, maneno na vitendo vya Gwajima utagundua kuwa Vision yake ni biashara na kazi ya kuhubiri ni mission katika kufikia lengo kuu.Na hayo madongo kwa watu na kila aina ya ufedhuli anaofanya ni tactis.Kumbuka hakuna mission inayoweza kutekelezwa bila mbinu mbalimbali.Ukimtazama kwa jicho la mbali utagundua kuwa biashara yake sasa iko kwenye Peek na hivi safari ya decceleration imeanza.
Tumetoka kwenye maadhimisho ya Pasaka.Kristu amekufa na kifufuka.Hivi umewahi kujiuliza kwa nini Kristu baada ya kufufukia Yelusalemu alikozikwa alienda Galilaya na kuwataka wote waliotaka kuonana naye waende huko? Hivi kwa nini Galilaya wakati Pilatus na viongozi wa Wayahudi walikuweko Yelusalemi "wakisikilizia upepo"? Galilaya iko kama 120km hivi toka Yelusalemi na hivi kwa wakati huo Galilaya ilikuwa Kijijini.Ili unielewe chukulia mfano huu: Una mkeo mjamzito umempeleka hospitali kujifungua pale Mhimbili.Baadaye unapigiwa simu mkeo kajifungua salama ila kama unataka kumuona mtoto na mama yake itabidi uende Tarime, huko Mara! Hivi utaelewa nini? Nimekuachia tafakari.Yesu alifanya jambo la namna hii lakini aliacha maana kubwa kwetu.Kwamba kazi yake ya kumtangaza iende kwa watu wa kawaida sana(Galilaya).Kwamba tunapomtangaza Kristu tusitafute makuu.Kwamba katika kueneza neno lake tusitafute kujionyesha kwa kina Pilatus na viongozi wa Mayahudi.Sasa jiulize Gwajima yuko wapi Yelusalemi au Galilaya?

QUOTE="mshana jr, post: 20744335, member: 98741"]
0e3bda5a2ebcdbfc255d46724ec40e00.jpg

Nimecheka sana baada ya Diamond kutoa wimbo wenye maudhui ya kisiasa huku akimtaja Gwajima na ile reaction ya Gwajima kisha diamond kuomba radhi kwa unyenyekevu na woga wa dhadhiri

Sio diamond tu watu wengi maarufu viongozi na wanasiasa kwasasa ni watu wanaomgwaya mno Gwajima mzee wa single touch double manifestation.... Haogopi na hashindwi kupata habari zako za siri akikuamulia

Kila enzi na zama zake, Mtikila alitamba sana enzi ya Mwinyi na Mkapa kidogo... Lakini huyu nguvu yake ilitokana na LIBERTY DESK (weakleaks ya sasa)...hiki ndio kilikuwa chanzo chake muhimu.. Walikuja kumtelekeza baada ya kumuona anachanganya na yake.... Nguvu yake ikapungungua sana

Mwishoni mwalimu utawala wa Mkapa na kipindi chote cha kikwete aliibuka mwingine japo yeye alilenga sana mambo ya kisiasa kupitia chama cha siasa, Dr. Slaa! Huyu chanzo chake kilikuwa ikulu, na mambo yalipokuja kuvuja wote tunajua nini kilitokea

Ni kipindi hicho cha kuelekea utawala wa mwisho wa Kikwete alianza kujitokeza mtu aitwaye Gwajima kwenye ulingo wa siasa na alianza kumblast Slaa.... Gwajima alisaidia pakubwa kumaliza Slaa

Tangu hapo Gwajima akachukua rasmi mikoba yote ya Mtikila na Slaa... Ikawa sasa akitaka kuongea ujue anamlipua mtu
Mfanano wao...wote hawa watatu ni viongozi wa dini

Tofauti zao
Mtikila alikuwa na chama cha kisiasa DP, pengine na kanisa dogo ila madongo yake alitumia jukwaa la siasa na alikuwa mwanasheria mahiri
Slaa alikuwa Katibu wa chama tishio kwa utawala, akiwa katokea kwenye upadri... Huyu alitumia jukwaa la siasa kulipua mambo

Gwajima amekuwa tofauti kidogo, haweki wazi ana mrengo wa chama gani, yeye ni mhubiri maarufu na tajiri akitumia kanisa lake kama jukwaa la mifupa madongo ...kwa kuwa kwake neutral ameweza kuwateka watu wa dini na itikadi zote,...

Kanisa lake limekuwa kama sehemu muhimu ya kuzodoa wengine. Huyu chanzo chake hakijajulikana vema ana vyanzo vingi lakini vilivyoshindwa kupenya kuta za mamlaka Kama ilivyokuwa kwa watangulizi wake

Lakini vyovyote iwavyo Gwajima ni kama hybrid ya Mtikila, akiwa amejijenga zaidi kwenye jamii kupitia kanisa lake... Hiki ni kipindi chake kitapita na Pengine mrithi wake Kwa mshangao wa wengi anaweza kuwa Mange Kimambi [/QUOTE]
0e3bda5a2ebcdbfc255d46724ec40e00.jpg

Nimecheka sana baada ya Diamond kutoa wimbo wenye maudhui ya kisiasa huku akimtaja Gwajima na ile reaction ya Gwajima kisha diamond kuomba radhi kwa unyenyekevu na woga wa dhadhiri

Sio diamond tu watu wengi maarufu viongozi na wanasiasa kwasasa ni watu wanaomgwaya mno Gwajima mzee wa single touch double manifestation.... Haogopi na hashindwi kupata habari zako za siri akikuamulia

Kila enzi na zama zake, Mtikila alitamba sana enzi ya Mwinyi na Mkapa kidogo... Lakini huyu nguvu yake ilitokana na LIBERTY DESK (weakleaks ya sasa)...hiki ndio kilikuwa chanzo chake muhimu.. Walikuja kumtelekeza baada ya kumuona anachanganya na yake.... Nguvu yake ikapungungua sana

Mwishoni mwalimu utawala wa Mkapa na kipindi chote cha kikwete aliibuka mwingine japo yeye alilenga sana mambo ya kisiasa kupitia chama cha siasa, Dr. Slaa! Huyu chanzo chake kilikuwa ikulu, na mambo yalipokuja kuvuja wote tunajua nini kilitokea

Ni kipindi hicho cha kuelekea utawala wa mwisho wa Kikwete alianza kujitokeza mtu aitwaye Gwajima kwenye ulingo wa siasa na alianza kumblast Slaa.... Gwajima alisaidia pakubwa kumaliza Slaa

Tangu hapo Gwajima akachukua rasmi mikoba yote ya Mtikila na Slaa... Ikawa sasa akitaka kuongea ujue anamlipua mtu
Mfanano wao...wote hawa watatu ni viongozi wa dini

Tofauti zao
Mtikila alikuwa na chama cha kisiasa DP, pengine na kanisa dogo ila madongo yake alitumia jukwaa la siasa na alikuwa mwanasheria mahiri
Slaa alikuwa Katibu wa chama tishio kwa utawala, akiwa katokea kwenye upadri... Huyu alitumia jukwaa la siasa kulipua mambo

Gwajima amekuwa tofauti kidogo, haweki wazi ana mrengo wa chama gani, yeye ni mhubiri maarufu na tajiri akitumia kanisa lake kama jukwaa la mifupa madongo ...kwa kuwa kwake neutral ameweza kuwateka watu wa dini na itikadi zote,...

Kanisa lake limekuwa kama sehemu muhimu ya kuzodoa wengine. Huyu chanzo chake hakijajulikana vema ana vyanzo vingi lakini vilivyoshindwa kupenya kuta za mamlaka Kama ilivyokuwa kwa watangulizi wake

Lakini vyovyote iwavyo Gwajima ni kama hybrid ya Mtikila, akiwa amejijenga zaidi kwenye jamii kupitia kanisa lake... Hiki ni kipindi chake kitapita na Pengine mrithi wake Kwa mshangao wa wengi anaweza kuwa Mange Kimambi
 
Mtikila mtetezi wa Tanganyika hakuwai kuvunja ndoa za watu kama anavyofanya huyu mkongomani!
 
Mleta mada...Sentensi yako ya mwisho ya post ya kwanza ya uzi huu...akiisoma...!(Ujiandae Jumapili)
 
Sidhani ni sahihi kumlinganisha Mtikika na Gwajima
Mtikila alikua analenga issues sio watu binafsi.Bado tunakumbuka kesi zake nyingi alizoishinda serikali na hata alipohukumiwa kifungo hakukimbilia hospitali kujisingizia maradhi bali alipambana mpaka mwisho
May the Lord have mercy on his soul
Foment yako inaonyesha hujamuelewa kabisa mtoa mada !
 
Tati
Inategemea tunacheza beat ya nyakati gani.... Unamkumbuka huyu? Tulimuona ni bonge la genius na akaaminika hasa! Nini kilikuja kutokea Mwishoni? View attachment 498247
tatizo lako umeamua kutekwa na mafisadi ndio maana fikra zako ni hasi juu ya dokta slaa. Dr. Slaa dhamira yake ilimsuta kukubali kununuliwa kwa vipande vya shilingi, ni mbowe na wachumia tumbo wenzake ndio wananunulika.

Dr. Slaa ana akili kubwa huwezi kumlinganisha na mjasilia mali Gwajima wala takataka yoyote kutoka ccm. Mapambano ya Dr Slaa yalikuwa ya kulipigania taifa ndio maana alipoona wale aliohisi watamsaidia kulikomboa taifa wamenunuliwa ameamua kukaa mbali.
 
Back
Top Bottom