Line ya tigo pesa inauzwa

Safi, mi nipo tanga ila soon( ijumaa) nitakua Dar mana ndo ninakofanya Biashara zangu, nahitaji line ya MPESA, Tigo Pesa na Air tell Money bajeti yangu ni LAKI NA NUSU kwa kila line, kwa mwenye zote nitampa kipaumbele sitati line Kanyaboya,
 
Mi nauza ya M-PESA bei ni laki na themanini (180000)... KARIBUNI
 
Kwa anae hitaji hizo laini anitafute.
Mimi nauza zangu, yani tigopesa, mpesa, airtelmoney na halopesa. Zote nne kwa 450,000/=
Haipungui,napatikana kwa namba hizi 0755400005/ 0719733338
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom