Recent content by Sphygmomanometer

  1. Sphygmomanometer

    JamiiForums Tanzania Vitu gani vidogo vidogo vinakufurahisha kwenye maisha?

    1. Napenda kusafiri alafu niwe nimetulia nasikiliza mziki laini nikiwa zangu siti ya dirishani 2. Iwe siku nipo off alafu saa 10 alfajiri au 11 hivi kunyeshe kimvua hadi morning dahh
  2. Sphygmomanometer

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Tafuta kiapo kwa usalama zaidi ila hiyo issue ilishaelezewa humu kuwa hakuna tatizo. Ila kwa kujiondolea shida zisizo na msingi kabebe affidavit mengine mbele kwa mbelee
  3. Sphygmomanometer

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Itakuwa wanaugulia chooni mana sio kwa surprise za leo
  4. Sphygmomanometer

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Naona MDAs & LGAs wameita interview Oral vijana wa kutosha sijui itakuwaje
  5. Sphygmomanometer

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume kama hutengenezi kuanzia Elfu 10,000 kwa siku usioe

    Tusipangiane maisha, kila mtu afanye anachopenda
  6. Sphygmomanometer

    JamiiForums Tanzania Simba bado inacheza kitoto sana

    Mwaka huu mbona ubingwa tunao ni mapema mno kuanza kuipa presha timu wacha viongozi wafanye kazii
  7. Sphygmomanometer

    JamiiForums Tanzania Hili ni kosa la kiufundi alilofanya Adolf Hitler

    Kuna madini sana hapa
  8. Sphygmomanometer

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndoa inapangwa na mwanamke sio mwanaume

    Kabisaa
  9. Sphygmomanometer

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Dunia imebadili wengi, alisema ananipenda leo ananiambia nitoe Mimba, hivi kweli!!

    Ukute kuna jamaa alionesha interests na wewe ukamkataa kisa hana sasampa sasa umeyavagaa unaanza kulialia, wewe msokilize huyo unaempenda anachokitaka ndicho ukifanye si unampenda bwana..
  10. Sphygmomanometer

    JamiiForums Tanzania M-wekeza kutoka Vodacom Riba 13%

    Kwa wastaafu ni miradi mizuri. Kwa sisi wasaka tonge naona ni nzuri kwa ajili ya kuweka pesa kwa muda wakati unafuatilia michongo ya maana ya kufanya. Mfano umebumba ukapiga kama 7M sehemu badala ya kuziweka ndani au benki ambapo watazitafuna kwenye monthly maintenance fee na mambo mengine pia...
  11. Sphygmomanometer

    JamiiForums Tanzania Nilivyo ibiwa kimaajabu

    Hayajawakuta bado ndio maana ila kwa tuliowahi kutokewa na haya mambo tunaelewa
  12. Sphygmomanometer

    JamiiForums Tanzania Natamani siku nikifa mwili (maiti) wangu utumike kuwanufaisha walio hai

    Tumewaza sawa. Upo sahihi kabisa 🤕
  13. Sphygmomanometer

    JamiiForums Tanzania Nakula mara moja kwa siku, ni sawa au nataka kujiua

    Tunahesabuje hizo kaloli
Back
Top Bottom