HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Nimefanikiwa kufika dodoma. Jamaa wamekataa kata kata kunibadilishia address ya barua inamaana wamenidisqualify kwenye hizo applications zangu zote nilizoomba. Nimejaribu kuongea nao sana hawanielewi. Hii haijakaa sawa wakuu. Unakosa vipi nafasi ya ushiriki wa interview kisa address wakati vyeti vyako na kila kitu kipo sawa sawa.
Mkuu, ungejituliza kwanza pengine wangekuzingatia.

Mimi ilishawahi kunitokea kisa tofauti kidogo, walitangaza nafasi ya Afisa Biashara II kwa ajili ya MDA & LGA, wakati wa kuandika barua yangu nikaandika heading ya "Maombi ya Nafasi ya Afisa Habari II" ila main body nimeeleza mambo ya Afisa Biashara II ambayo nayo nilituma maombi, nikaja kushtuka tayari deadline ishapita kitambo sana.

Nikajimute kama vile hakuna nilichokosea ila mwisho wa siku nikaitwa usaili kwa nafasi zote.

Sasa sijui ni bahati yangu ama kitu gani kilitokea?
 
Nimekupata mkuu.
 
Wakuu naomba kuuliza hizi nafasi za Finance Management Officer kutoka kwa msajili wa hazina. Watu wanatakiwa kusoma issue gani au kuna group lolote. Maana kuna watu wanasema kutakua kuna usaili hadi wa practical.
 
Kwani kwenye tangazo lao JD inasemaje ?
 
Leo nataka ni share mbinu moja na wapambanaji wenzangu mnaoenda kufanya usaili kwa kipindi hiki.. kama utanielewa inaweza kukusaidia kwa namna moja ama nyingine.

Ukienda kufanya mtihani wa written wa online , kwa kawaida huwa kuna maswali thelathini na muda huwa ni nusu saa tu.

Sasa kuna mbinu moja niliingundua ya kufanya hii mitihani ya written( nasema ni mbinu maana kila mtu anaeenda kufanya written interview huwa amejipanga na anajua)

Ukiwa unafanya maswali inabidi uanze na maswali ambayo ni rahisi yan kila mtu anaweza kufanya baada ya hapo utabakiza yale maswali ambayo ni magumu( haya maswali magumu huwa yapo na huwa kila mtu yana msumbua kichwa maana majibu yake si rahisi kuyapata kwa usahihi, sasa hapo ndio filtration huwa inaanza, kuna wale watakao kurupuka na kuyajibu haraka haraka bila kufikiria ila wewe ukifika kwenye hayo maswali inabidi uwe makini, hakikisaha unayasoma mara mbilimbili, hakikishs unalazimisha ubongo wako kufikiria kwa kina, kulinganisha majibu, hii itakusaidia kupata maana zilizojificha za hayo maswali na katika hatua hiyo ndio watu huwa wanaanza kutofautiana marks kuanzia 2 ,4 , 6 ukishindwa tuyajibu hayo maswali kwa usahihi basi mwenzako atayajibu kwa usahihi na atakuzidi marks ndogo tu na yeye kwenda hatua inayofata.

Hii ni vita ,hivyo inabidi umtangulize Mungu, Pia uwe na mbinu mbalimbali za mapambano.

Niwatakie usahili mwema.
Sahihi kabisa mkuu. Nilitumia hii mbinu kupata marks za juu. Maswali yalikuwa 30. Mda ni dakika 40 tu. So niliaza kujibu maswali ninayoyajua kwaza nilijibu 22Qns then yakabaki maswali 8 nikaaza kujibu taratibu kwa umakini. Matokea yalipotoka nilikosa maswali manne tu.
 
Ni mbinu bora sana hyo.
 
Habari wakuu...waliofanya interview kada ya tutorial assistant udom tarehe 29 na 30 august washaita watu kazini?
 
Nimefanikiwa kufika dodoma. Jamaa wamekataa kata kata kunibadilishia address ya barua inamaana wamenidisqualify kwenye hizo applications zangu zote nilizoomba. Nimejaribu kuongea nao sana hawanielewi. Hii haijakaa sawa wakuu. Unakosa vipi nafasi ya ushiriki wa interview kisa address wakati vyeti vyako na kila kitu kipo sawa sawa.
Next time zingatia maelekezo vizuri, soma wanachotaka mara mbilimbili kwenye tangazo la kazi kabla ya kufanya application.

Siku 14 huwa zinatosha kabisa kulisoma na kulielewa tangazo la kazi.

Msipokuwa makini mtaishia kuwalaumu PSRS kila siku.
 
Wakuu leo nimefanya usaili wa mtandao kada ya assistant photojournalist, aisee ile n kukomoana 🙌
Nikifaulu bc n kwa nguvu za Mungu na sio uwezo wangu
Wakuu, hakika Mungu n mwema mno 🙌

Imagine usiku huu nachungulia nakutana na selected for practical interview aisee nmefurahi Sana, ngoja nikapambane na huko tena.

Naamini Mungu, kama alivyonipitisha hapa, pia huko nitapita salama.
🙏
 
Back
Top Bottom