HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Jamani
Wakuu leo nimefanya usaili wa mtandao kada ya assistant photojournalist, aisee ile n kukomoana 🙌
Nikifaulu bc n kwa nguvu za Mungu na sio uwezo wangu
unanitisha na asubuhi leo nina usaili pia🥺
 
Wakuu, hakika Mungu n mwema mno 🙌

Imagine usiku huu nachungulia nakutana na selected for practical interview aisee nmefurahi Sana, ngoja nikapambane na huko tena.

Naamini Mungu, kama alivyonipitisha hapa, pia huko nitapita salama.
🙏
Hongera sana! Mungu akuonekanie this time round! Akafanyike majibu ya maombi yako!
 
Wakuu, hakika Mungu n mwema mno 🙌

Imagine usiku huu nachungulia nakutana na selected for practical interview aisee nmefurahi Sana, ngoja nikapambane na huko tena.

Naamini Mungu, kama alivyonipitisha hapa, pia huko nitapita salama.
🙏

Hahah pepa likikupiga linapiga na wengine
 
Wakuu shikamoni,
Natumai mna jumapili njema,
Nina shida moja naomba msaada wenu mnieleweshe

Vyeti vyangu vya shule jina la kati kuna initial tu mf: John P. Magufuli
Na kwenye cheti cha kuzaliwa na NIDA majina yapo full mf: John Pombe Magufuli
Kutokana na tangazo walilotoa je nahitajika kwenda na affidavit kwenye usaili hapo kesho?
 
Attachments

  • IMG-20250928-WA0006.jpg
    IMG-20250928-WA0006.jpg
    206.9 KB · Views: 26
Wakuu shikamoni,
Natumai mna jumapili njema,
Nina shida moja naomba msaada wenu mnieleweshe

Vyeti vyangu vya shule jina la kati kuna initial tu mf: John P. Magufuli
Na kwenye cheti cha kuzaliwa na NIDA majina yapo full mf: John Pombe Magufuli
Kutokana na tangazo walilotoa je nahitajika kwenda na affidavit kwenye usaili hapo kesho?
Ndy lazima upate kiapo ndg yangu
 
Tafuta kiapo kwa usalama zaidi ila hiyo issue ilishaelezewa humu kuwa hakuna tatizo. Ila kwa kujiondolea shida zisizo na msingi kabebe affidavit mengine mbele kwa mbelee
 
Wakuu, hakika Mungu n mwema mno 🙌

Imagine usiku huu nachungulia nakutana na selected for practical interview aisee nmefurahi Sana, ngoja nikapambane na huko tena.

Naamini Mungu, kama alivyonipitisha hapa, pia huko nitapita salama.
🙏
Maswali yalikuwa mangapi na muda ni dakika ngapi mkuu
 
Wakuu naomba kuuliza hizi nafasi za Finance Management Officer kutoka kwa msajili wa hazina. Watu wanatakiwa kusoma issue gani au kuna group lolote. Maana kuna watu wanasema kutakua kuna usaili hadi wa practical.
Maswali ni ya kuchgua huwa ni magumu ile Mbaya🤣🤣
 
Habari za leo, Waungwana!

Ni jambo la kushangaza kuona kwenye mtihani wenye jumla ya maswali 50, mtu anaweza kupata alama zisizogawanyika kwa mbili, kwa mfano 51 au 63. Swali linakuja: kwa nini inakuwa hivyo?

Vilevile, ni kwa nini mfumo wa mtihani unashindwa kutoa matokeo papo hapo mara tu msailiwa anapowasilisha majibu yake? Kukosekana kwa uwezo huu wa kutangaza matokeo kwa haraka kunatengeneza mianya (loopholes) inayoweza kumpa muajiri nafasi ya kubadilisha au kuathiri matokeo ya wasailiwa.

Kwa mtazamo wangu binafsi, ili kufanya zoezi la usaili wa mchujo kwa njia ya mtandao (OATS) liwe lenye haki na uwazi, Utumishi walipaswa kuhakikisha yafuatayo:

1. Uwazi wa alama kwa kila swali: Kila swali kwenye mtihani linapaswa kuonyesha wazi alama zake. Hakuna sababu ya msingi inayoweza kueleza kwa nini mtunzi wa mtihani (muajiri) pekee ndiye anayejua thamani ya kila swali.

2. Matokeo kuonekana kwanza na msailiwa: Mara tu msailiwa anapowasilisha majibu yake, awe mtu wa kwanza kabisa kuona matokeo yake. Hii ni rahisi kiteknolojia na haina kisingizio cha msingi cha kuzuia. Baada ya hapo, matokeo ya washiriki wote yaonekane kwenye dashboard ya muajiri. Muajiri atarekodi na kuchagua waliofaulu kulingana na viwango walivyoweka, kisha atayachapisha kwa uwazi ili yaonekane kwa hadhira.
 
Back
Top Bottom