Recent content by spectre

  1. spectre

    Wanawake wapeni waume zenu unyumba pia wanaume mjirekebishe

    Za kuambiwa changanya na zako, Sijui utavaa kanga au bukta wakati unamsaidia mkeo kuosha vyombo uani.
  2. spectre

    Nataka kuandika Wosia

    Hizi zitaitwa chuki za marehemu
  3. spectre

    Dar: Chatu atikisa mitaa ya Sinza Kamanyola, wananchi wahofia maisha yao

    Haya sasa wanaume wa songea nao wanalia serikali ije iue chatu
  4. spectre

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Dah, leo nimekuta majivu kwenye account yangu ya forex lakini so far sikomi.
  5. spectre

    Nakemea vikali ujinga, uongo, uhuni na utapeli unaoenezwa na baadhi ya JF members

    Kweli nimeamini wakosoaji wa forex ni watu ambao mnaisikia tu juu juu. Hamjui lolote. Na hili ndio tatizo la watanzania wengi kukosoa viti bila ya kuwa na taarifa sahihi. Hivi kama huwezi forex si ukae kimya! Badala ya kuja kuropoka hovyo. Stop hating mkuu.
  6. spectre

    Ontario una kipaji sana, ushawishi wako ni kama mganga wa kienyeji au wachungaji feki

    What I discovered is, inahitaji flexibility, focus, patience, skills and a lot of research ili uwe trader wa forex. Sasa watu wengi hivi vitu hawana, ndio maana tunasema forex is not just for everybody. We kama huwezi waache wenzio wapige hela. Kuanza kuhate hustle za watu simply because your...
  7. spectre

    JF: The only place you can meet real beautiful women

    We wajaze ujinga tu! [emoji57]
  8. spectre

    Siri kubwa kuhusu Forex hakuna Mentor anaetaka uijue

    Hii forex watu tumesoma hata chuo(kwa wale waliosoma international finance). Sasa mleta mada unataka kusema hata vyuoni wanafundisha scams? Msipende kuongea vitu serious based on assumptions. Wema kama kichwa kizito umeshindwa kutrade forex basi acha.
  9. spectre

    Jinsi ya kusimamisha matiti yaliyolala

    Kama nakuona vile [emoji39][emoji39][emoji7]
  10. spectre

    Phantom 8 ni dhoruba kutoka tecno

    Nimekuja kugundua watu wanaotumia tecno ni wenye uelewa mdogo wa smartphones au walioanza kutumia smartphones recently. Maana there's no way you can spend your money on such trash! ‍♂️‍♂️
  11. spectre

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Vipigo vimeanza sasa
  12. spectre

    Maisha ya Diamond Platnumz ni mazuri na yenye furaha kuliko hata ya Profesa wa Tanzania

    Sipati picha maProfessor na madoctor walikaa maabara na kugundua mbegu bora za korosho na mihogo watajiskiaje wakiona post ya kipumbavu namna hii. ‍♂️‍♂️
Back
Top Bottom