Mpe adhabu ya kutokumjibu wala kumpiga. Usijipe stress hakikisha wanao wanakula na wanasoma kama unao. kama utampuuza kila atakapoleta maneno ataumia na atajirudi.
Kwa kweli Mungu awabariki wasanii na watu wengine jasiri katika kukemea kwa kupaza sauti juu ya uhuru ulipungua. Wakati huu watu tumekuwa waoga kukosoa yanayoendelea mfano kutokutolewa tamko vyeti feki vya watu kama DAB. au kwa kuwa ni wakubwa ndo wapo juu ya sheria? Wenye kuweza kutolea...
Hata mi nalaani mbaya. Sio tu kwa jinsia moja. Kauli kama za Boss Makonda hazifai kabisa kwa mtu wa jinsia yoyote. Hapaswi kutoa maneno makali kama yale yeye kama kiongozi au hata angekuwa mtu wa kawaida asiye kiongozi. Matatizo hayatatuliwi kwa jazba iliyopitiliza.
Jamani kwa nini tunarudi kwenye enzi za chama kimoja? Kwa nini tuhofie usalama watu kufanya mikutano ya kisiasa. Kwa nini iwe kwa wapinzani tu. Nashukuru kila tunapowakwanza ndo mwanzo wa kukua kwao. Ni wakati wa kuacha watu kuwa huru kueleza mambo yao ya kisiasa bila kizuizi. Let the democracy...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.