Serikali yawanyang'anya mashine za maji wakulima na kusababisha kukauka kwa ekari 200 za vitunguu

Salaam wakuu
Mkuu wa wilaya ya Moshi,Kipi Warioba amesababisha ekari 200 za mashamba ya vitunguu ya Koresa yanayotumia maji ya kumwagilia kukauka baada ya kuagiza mashine zinazotumika kupampu maji kuchukuliwa.Sababu ya kung'oa mashine hizo ni wamiliki kutokuwa na vibali vya kuvuta maji kwa ajili ya kumwagilia.
Source;ITV
 
Uongozi huwa ni pamoja na busara....matumizi ya "Mamlaka" yanapaswa kutumika kwa umakini.
 
Iko hivi jamani, kiutaratibu mtu anapochukua/kuhitaji maji toka mtoni ,ziwani,chemchem na hata tu kuchimba kisima chake mwenyewe, NI LAZIMA apate kwanza kibari cha kutumia maji (water permit).

Kwakuwa wao wapo kwenye kikundi kilichosajiliwa, walitakiwa (na wanajua) kwenda Ofisi ya Bonde la mto Pangani (Moshi) kwa ajili ya kupewa ridhaa ya kutumia kiasi MAALUMU cha maji toka mtoni kwa kuangalia ukubwa wa eneo lao na aina ya mazao wanayolima (Vitunguu/mbogamboga).

Hiyo ni sheria kabisa ya maji iliyopitishwa na Bunge. Usipowabana, wanachukua pump kubwa tena nyingi na wanyonye maji mtoni bila utaratibu,kitu ambacho hukausha au kupunguza maji mtoni.

Ikumbukwe pia, upande wa chini ya mto (downstream point) kuna watumiaji wengine wa mto na kuna viumbe hai wanaotegemea huo mgao wa maji.

Mfano:

Ziwa jipe (Wilayani Mwanga) ndo chanzo cha mto Kifaru ambao hupeleka maji Bwawa la Nyumba ya Mungu ambapo ndo mto Pangani (unaoenda mpaka baharini) umeanzia hapo.

Sasa ukiwaruhusu ovyo wananchi wakanyonya maji ya mto Kifaru, nn kitatokea?

Tatizo tu elimu na mkazo vitolewe kwa wananchi hao,siyo kulalama.
Hii kitu hawa wakulima wasingelifanyiwa hivyo kama wangekuwa wakulima wa kanda ya ziwa...
 
Hivi kibali cha kutumia maji ya chemchem iliyopo kwenye ardhi ninayomiliki/occupy, kwa kujenga miundombinu ya kusafirisha hayo maji kupeleka sehemu nyingine ninakipata wapi kwa mkoa wa kilimanjaro?

Sheria ya maji inasema kibali unaomba kwa water officer na sijui huyu afisa anakaa wapi.
 
Sasa Elimu ilitolewa? na walikuwa wapi mpaka vitunguu vinafikia Hata hiyo? Na kwa nini waone bora vitunguu kukauka hawana Hata ubinadamu Je ingekuwa wao?
 
Back
Top Bottom