Hichi ndicho kitafanya nimuache mke wangu

Hichi ndicho kitafanya nimuache mke wangu

Alikuwa ila kajifungua nilihisi labda ni mimba lkn imeendelea mpk baada ya kujifungua my
Wanawake Wapo hivi nisikilize Kwa makini,
Huwa wanatabia kibao kabla ya kuelewa,
Akipata mchumba huzificha tabia mbaya zoooote na hujivisha upole na heshima ambazo ndo asili yao mke,
unapomuoa huja na mabegi ya tabia njema na kila tabia mbaya,
Akifika kwako huingia na begi la tabia njema na huyaacha mabegi ya tabia mbaya,ukimzoea huanza kuingiza begi moja la tabia fulani mbaya, ukiikubali anajisahaulisha kidogo akiona umeipokea tabia hyo, harudi kuchukua lingine la tabia mbaya zaidi,usipostuka mapema utakuta kawa mbaya tofauti na awali na hautaweza mbadirisha Labda Kwa nguvu ya MUNGU au spare tatizo linalotaka utatuzi wako tu hapo atarudi nyuma na kuvaa tabia njema,hivo mpiga adui akiwa bado nje ya malango yako, usikubali kuzoea baya lolote la awali ukidhani ni bahati mbaya,hawa watu wanayoongea akipingwa kubwa Sana ya kusoma madhaifu
 
Husika na kichwa cha habari hapo juu.Hii sio story ni mambo ambayo yanaendelea katika nyumba yangu kwa kweli niliowa kwa leo kwa kutegemea kuna vitu nitavikuta katika ndoa lkn imekuwa ni kinyume na matarajio yangu
1. Dharau
Yani siku nikinunua mboga ambayo haipendi lazima ataitupa au kuzila na hatopika na maneno ya kashfa hii haangalii tuko wapi.
2. Wivu uliopitiliza
Natoka alfajiri kwenda job narudi jioni kabisa kichwa kimechoka natarajia kutulizwa na kupewa pole ila ilo zogo home utatamani urudi job ila ndio washafunga.
3. Uaminifu
Yani inafika stage nikirudi kazini nivuliwa nguo nasuswa kama sijachepuka
Nikienda kwa rafiki nikirudi lazima ipigwe simu kujua kama nilikuwa hoko

Swali hivi ndoa ndio ziko hivi zote?
Kuna umuhimu gani wa kuwa kwenye ndoa na wakati humwamini mwenzio hata 1%!
Kibaya zaidi ukimkanya tu ananuna anenda beach. Alafu tuko nchi xa watu kwa kweli namrudisha.
Am out namuacha kwa kweli this is too much.
[emoji125] mm mbiooooo
Mi naona wanawake tuko wengi saana sioni haja ya kupata shida na mtu mliekutana naye ukubwani ukiona ni shiida potezea tafuta mwingine watu wanalala makanisani kuomba wapate japo mtu wa kuzaa naye tuu leo hii uanze na kuhangaika na mtu anayekukera, hela ngumu saana kutafuta, maisha ni magumu bado uangaike na mtu upate stress ya kutafuta hela na ya kumkabili mtu nyumbani kama hajafunzwa kwao namna ya kumbembeleza mume mpe likizo ya kwenda kupata kozi akipigwa na upepo wa naisha hata miezi miwili tuu akirudi ataitika hata ukikohoa na goti juu
 
La msingi hebu Millie MUNGU, ili km huyo ndo ubavu wako ulopangiwa Mungu arekebishe ama km siyo Mungu akuoneshe hatua sahihi ya kuchukua, Anza Kwa kuomba toba,kisha msamehe, Halafu usijihesabie haki jione na ww mdhambi pia,kisha muombee toba yy pia,
Kisha muombe Mungu aingilie Kati,weka imani kuu na MUNGU atakupa jibu,
Nlishapita huko Natamani kuongea zaidi na ww
 
Asante mkuu nilitaka kusema hivi hivi,nimeangalia profile yake nikajua tu huyu kaowa katoto aged18 maana yeye mwenyewe kama wa muda mrefu basi wa 1993/1994.vijana msivamie ndoa mkidhani 100% ni raha no kuna changamoto zake zinazohitaji kuvumilia.
29 mtoto?
 
Nisikilize kwa umakini.

Anataka kurudi nyumbani kupumzika huyo anashindwa kukwambia.
 
Tatzo kubwa la ndoa au mahusiano ni kutokuwa na muda wa kuwasoma wapenzi wetu (wakati wa uchumba). Ungelitambua hilo mapema uchumba ungevunjwa, lakn kama tyr umemwoa ni sheeeeda! Jaribu kutoka nae out na mwambie unavyojisikia, ukikwama waone Ma- best wenu wa ndoa kwa ushauri zaidi.
Zipo tabia kuu mbili,
Mwanamke anapoingia ktk mahusiano siku za mwanzo huzitumia kukusoma mapungufu yako ili ukimuoa akukabiri vipi
Pili, wanaume hatuanzi Kwa Kusoma mapungufu tunaanza Kwa kulewa Mapenzi na urembo wa mwanamke
 
Kwa hiyo wewe baba wa familia unarudi kutoka kazini mke anakwambia vua nikunuse kama hujachepuka...na wewe huwa unavua nguo kweli!!!?
Shida unayo wewe sio mkeo!!
Hayaja kukuta kaka, hili la Huyu dogo,wengine tulikuwa tunatozwa hela ukitaka tendo la ndoa
 
29 mtoto?
Humu mna mzee mwenyewe anajiita Lemutuz huyu jamaa atamuita babu kwa umri wake ulivyo ila akili zake huyu kijana kuna uwezekano haziwezi kumtuma kupost vitu anavopost humu huyo Lemutuz so unaweza kuona kwamba hizo ni number tu ila in reality dogo hajakuwa bado.
 
Weka Umri wake kwanza maana wengine ndio hvyo tena Yani Bado ckia kama ana Miaka 20-24/25Ni wasumbufu sana usipokua Makini Anaweza akakuloga
 
Mi naona wanawake tuko wengi saana sioni haja ya kupata shida na mtu mliekutana naye ukubwani ukiona ni shiida potezea tafuta mwingine watu wanalala makanisani kuomba wapate japo mtu wa kuzaa naye tuu leo hii uanze na kuhangaika na mtu anayekukera, hela ngumu saana kutafuta, maisha ni magumu bado uangaike na mtu upate stress ya kutafuta hela na ya kumkabili mtu nyumbani kama hajafunzwa kwao namna ya kumbembeleza mume mpe likizo ya kwenda kupata kozi akipigwa na upepo wa naisha hata miezi miwili tuu akirudi ataitika hata ukikohoa na goti juu
Ha ha ha nimekuelewa saaaana
 
La msingi hebu Millie MUNGU, ili km huyo ndo ubavu wako ulopangiwa Mungu arekebishe ama km siyo Mungu akuoneshe hatua sahihi ya kuchukua, Anza Kwa kuomba toba,kisha msamehe, Halafu usijihesabie haki jione na ww mdhambi pia,kisha muombee toba yy pia,
Kisha muombe Mungu aingilie Kati,weka imani kuu na MUNGU atakupa jibu,
Nlishapita huko Natamani kuongea zaidi na ww
Ahsante nitaufanyia kazi ushauri wako
 
Pole mkuu ndoa ni ya wawili unapaswa kukaa chini na kuangalia namna ya kumuweka katika njia sahihi,Mimi Nina miaka minne kwenye ndoa lkn mpaka wazee wananiiga kwani hawajui ninafanya nini kuwa na amani kiasi hicho.kuna waliosema tutaachana lkn kila siku ndo tunachanua!!
Ombi kwako chunguza kwa makini wazee ambao wamekaa kwenye ndoa muda mrefu(husani wazazi wako) then wasome tabia zao kwa nini wamezeka wakiwa wote....

Ovaaaaa.
 
Mkuu najua umechoka na hizo habari, lkn jaribu kaaa nae mkaongea kwa kirefu pia kama unampemda onesha kama unampenda na kumjari, kama anajielewa atakuelewa lkn kama bado ana akiri za kitoto hato kuelewa atazusha mambo mengine na kuona hufanyi chochote
Mpe adhabu ya kutokumjibu wala kumpiga. Usijipe stress hakikisha wanao wanakula na wanasoma kama unao. kama utampuuza kila atakapoleta maneno ataumia na atajirudi.
 
  • Thanks
Reactions: GUI
Nimesoma comments zote...zingine zinatia huruma zingine ni za kikatili .. zingine ni za kusaidia
 
Back
Top Bottom