KakaKiiza
Platinum Member
- Feb 16, 2010
- 11,952
- 9,468
Naangalia kwa sasa hali ya siasa nchini inazidi kuwa ya chuki dhidi ya CCM na ukichanganya na katazo la mikutano ya vyama vya siasa hii itawaathiri wabunge wa vyama vya siasa hasa wa CCM na pia kwakuwa Mwenyekiti wa CCM amesema anarudisha chama kwa wanyonge basi ujue wabunge wa CCM ni wachache watarudi hapo ndipo CCM itakuwa mwisho wake.
Na kwakuwa rushwa ndizo zilikuwa zikimuibua mgombea ubunge.Hivyo tutegemee makubwa kwa CCM.
Pia kwakuwa mbinyo wa demokrasia umekuwa mkubwa basi watu wanakihu ya siasa na wanachuki juu ya serikali kwakuwanyima uwanja wasiasa.