Kukataliwa kwa Mkapa Burundi: Je, ni mwisho wa "ushawishi" wa TZ katika Siasa za Afrika?

Ni sawa na PASCAL MAYALA na JENERALI ULIMWENGU waripoti habari za Michezo (WANASHERIA HAWA KITAALUMA)

Ama WEMA SEPETU aripoti habari za mahakamani.... (Halafu mshtakiwa ni ZARI) ASEE SPATI FOTO.....
 
nimefurahia sana hii tread hadi nimetoa like! napenda kusoma habari ya hivi
kwa upinzani unavoteswa hapa tanzania haifai kabisa kwenda kusuluhisha popote
Kwa kweli umefrahi mpaka kutoa like maana ni bahili wewe kutoa like utadhani mchaga
 
Na jana kachafua hali ya hewa kwa kusema "Nkurunzinza ni Rais halali wa Burundi,wanaokataa ni wehu"
Huyu mzee kama alisema hvyo basi matusi ni sehemu ya maisha yake, nakumbuka ile ya wapizani kuwa ni malofa na wapumbavu
 
Acha wamkate huyu mzee. Hawatakagi ujinga kule. Ni huku tu ndio tuna "amani na utulivu" ambapo hata ukitukanwa kuwa wewe ni ****, lofa na mpumbavu, bado utakenua tu na kupiga makofi.
Nadhani yoga wetu nimkubwa kuliko amani yetu yenyewe
 
Hakuna ukweli hapo Mkuu, tunamsifu Mwalimu Nyerere kwa tabia yake ya kujali utu wa mwanadamu mwenzake. Wapo wana wengi wa Afrika waliotenda mambo matukufu ya kupigiwa mfano dunia nzima. Inakuwaje ndugu huyu alete mambo ya ubaguzi hapa JF?
Wapo akina Mussolini na akina Hitler walioua mamilioni ya Wazungu wenzao kwa ujinga wa ubaguzi tu. Narejea, aombe radhi, ndio uungwana period!!!

Sioni haja ya yeye kuomba samahani alichosema ni Ukweli ni tafakuri ya kumuelewa haikuwa na haja ya kuitumia tafsida acha ujumbe ufike kama ulivyo



nakubaliana na wewe asilimia mia uliposema "Adui yetu mkubwa ni yule aliyemteua Mkaa hapa kuwa msuluhishi" , it is too philosophical point, big up sana sababu "mimi" ni wa chama cha "kijani na njano" ila huwa namwona huyu mzee akiongea kingereza kizuri mno ila kwa jazba ya hali ya juu sana na kauli za kuudhi na dharau ambazo "mimi" nadhani sio sifa ya msuhulishi wala a leader bali ni sifa ya administrator au kamanda wa jeshi! sikubaliani kabisa nawewe unaposema rangi yetu nyeusi ni laana , nadhani hiyo ni kauli ya kibaguzi na matusi makubwa na labda ni vizuri kufikiria zaidi kabla hujawasemea watu weusi kama mimi! ni kauli mbovu kabisa na ni matusi ya waziwazi je unaweza kuprove scientifically kuhusu hiyo laana? nadhani mamlaka husika za kisheria zinahitaji kukutafuta ili utusaidie kwanini unatutukana watu weusi hadharani? kauli yako hii pia ni mbaya mno "wanafiki waliojazana huko Tanganyika anayeweza kusuluhisha hata mgogoro wa ndoa" , unawezaje kugeneralize watu usiowajua? how do you know tanganyikans intelligence , competences, capacities, wisdom, knowledge , nk, je umetuingiza laboratory watanganyika wote ukatufanyia vipimo na kutukuta ni zero na wewe ukajiingiza laboratory ukajifanyia vipimo na kukuta una asilimia mia ya intelligence? kisaikolojia mimi ninaona una kitu chako kuhusu watanganyika kinakuudhi sana na umeshindwa la kufanya unaishia kuwatusi watanganyika kinamna! ninadhani wewe si mtanganyika bali wa visiwani! pia ninadhani watanganyika wamekuzidi kitu flani na umeshindwa kuwa beat! kumchukia mtu kisaikolojia huletwa na mambo mengi ila mambo mawili hujitokeza zaidi, moja ni kuwa mtu huyo amekuzidi kitu na huna namna ya kumshusha na pili ni kuwa mtu huyo ni threat kwako hapo unamchukia asipite anga zako manake atakulaza nje ukiwa na manundu! mimi ninaona bora ukiseme hapa kitu chako kinacokuudhi kuhusu watanganyika ( kama mfano twamaliza mapembe yenu si useme tu!) kuliko kupitia mlango wa nyuma na kututusi , ila pia mimi ninadhani wewe ni mtu mwoga sana unaezunguka zunguka badala ya ku heat nail in the wood! nakutakia siku njema!
Ameongea Ukweli hajatusi ni tafakuri yako jinsi unavyoelewa na ukweli siku zote ni mwiba lakini Ukweli hushinda ndio maana Trump ameshinda marekani.
 
Nadhani hawaamini kama anaweza kuwasuluhisha wao wapate amani wakati nyumbani kwake mwenyewe kuna shida kama ya kwao ambayo haina majibu bado.
 
Wanaijua background yake. Nawapongeza warundi kwa hili la kumkataa huyu mzee.
 
Back
Top Bottom