Recent content by Somoleo

  1. S

    JamiiForums Tanzania Ule usemi wa Shida huleta maarifa.....

    Maarifa hayo yanafaa kukumbukwa katika kilele cha miaka 50 ya uhuru
  2. S

    JamiiForums Tanzania Miss universe

    Anatoka nchini Angola (AFRICA). Je kuna Miss Universe mwingine aliyewahi kutokea AFRICA (kwa ufahamu tu)???
  3. S

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Tiba ya kikohozi na mafua

    Ni kweli watoto wetu wanapata shida sana! Maji yanasaidia kiasi. Kuna hisia kuwa huu MOSHI wa majenereta yaliyotapakaa sasa kwa kukosekana umeme ni moja ya chanzo cha uchafuzi wa hali ya hewa. Je kuna utafiti na ukweli juu ya hilo wana JF?
  4. S

    JamiiForums Tanzania Happi basidei madiba.

    Ni kweli. Kuna watu wameumbwa na wanatenda mambo ili sisi wengine tujifunze kutokana na wao wanavyotenda.
  5. S

    JamiiForums Tanzania Sehemu ya kiwanja kinauzwa

    Kuna sehemu ya kiwanja inauzwa.<br> <br> mahali: UBUNGO MSEWE (kuelekea kanisa la ROMAN CATHOLIC - MSEWE ukitokea Morogoro road ukapitia pale KIBO)<br> ukubwa: mita za mraba 1000 (urefu 40m x upana 25m) zinauzwa<br> umeme: upo (nguzo kiwanjani - huhitaji kuongeza nguzo, bali kulipia na kuwekewa...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Sehemu ya kiwanja kinauzwa

    Kuna sehemu ya kiwanja inauzwa. mahali: UBUNGO MSEWE (kuelekea kanisa la ROMAN CATHOLIC - MSEWE ukitokea Morogoro road ukapitia pale KIBO) ukubwa: mita za mraba 1000 (urefu 40m x upana 25m) zinauzwa umeme: upo (nguzo kiwanjani - huhitaji kuongeza nguzo, bali kulipia na kuwekewa mita ya TANESCO...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Rav 4 (mwaka 1996) inauzwa

    INAUZWA: RAV 4; 5-DOORS; BLUE COLOUR; YEAR 1996; MILEAGE 145,000km; MANUAL. INAMILIKIWA NA MWANAMKE MFANYAKAZI AMBAYE SASA AMENUNUA GARI MPYA "AUTOMATIC" NA HIVYO KUAMUA KUUZA ILE YA AWALI (RAV 4) BEI YA KUANZIA NI MILIONI TISA (9,000,000/=). TUMA SMS YA BEI AMBAYO WEWE UNAWEZA KULIPA...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Plot for sale

    Fafanua: Hicho kiwanja 25m kutoka MOROGORO ROAD maana yake nini? Je moje sehemu yake ipo eneo linaloitwa "ROAD RESERVE" ya barabara au ni 25m toka ukingo wa road reserve (kwa sheria za SERIKALI KUU). Watu wengi wanaweza kuwa na interest lakini ufafanuzi ni muhimu, kwani ikitokea kuvunjiwa ni...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Dawa ya tatizo wakati wa mechi kali

    Please help. Nina appointment na mtoto wa Kinyarwanda weekend hii. Je wapi naweza pata dawa VIAGRA au yoyote inayofanana na viagra ili kusaidia wakati wa penzi. Kwani huwa napata tabu sana ninapokuwa naye kwenye 6 x 6; hivyo nahitaji msaada jamani! pia sijawahi kutumia (bali nasikia huwa...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Kumbe Wanyarwanda nao Wamo hii ni Balaaa mmm

    Please help. Nina appointment na mtoto wa Kinyarwanda weekend hii. Je wapi naweza pata dawa VIAGRA au yoyote inayofanana na viagra. Kwani huwa napata tabu sana nitapokuwa naye kwenye 6 x 6; hivyo nahitaji msaada jamani!
  11. S

    JamiiForums Tanzania Nyumba inauzwa

    Ndugu: Ni vema ukaweke ukubwa wa kiwanja, bei yake, kama kina hati, umabli toka barabara kuu nk Ili utafutwe na wachache!
  12. S

    JamiiForums Tanzania Chuo cha global college, dsm tanzania bado hakijasajiliwa

    HABARI WANAJAMII WOTE NASHUKURU KUJIUNGA NA WANAJAMII WENZANGU ILI KULETA HOJA, ELIMU NA MABADILIKO KATIKA JAMII PALE PANAPOWEZEKANA. NIKIWA MMOJA KATI YA WATU WANAOPENDA MAENDELEO KIELIMU, NIMEKUJA FAHAMU KWAMBA CHUO CHA GLOBAL COLLEGE, DSM TANZANIA BADO HAKIJASAJILIWA (i.e. NACTE) WALA...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Kutosajiliwa chuo cha global college, dsm tanzania

    HABARI WANAJAMII WOTE NASHUKURU KUJIUNGA NA WANAJAMII WENZANGU ILI KULETA HOJA, ELIMU NA MABADILIKO KATIKA JAMII PALE PANAPOWEZEKANA. NIKIWA MMOJA KATI YA WATU WANAOPENDA MAENDELEO KIELIMU, NIMEKUJA FAHAMU KWAMBA CHUO CHA GLOBAL COLLEGE, DSM TANZANIA BADO HAKIJASAJILIWA (i.e. NACTE) WALA...
Back
Top Bottom