sasa afanyenini wakati
mama atajigwote
watoto wanataka msosi
tena unakuta anao dazen,i mean timu ya mpira na reserve
wanataka kuvaa,shule`
wengine wagonjwa
af haelewi atapataje chochote kitu
na hapo utakuta anakwenda mbali sana
daaah this country bwana!!!!!!!!!!!!!!!!