Rav 4 (mwaka 1996) inauzwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Rav 4 (mwaka 1996) inauzwa

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Somoleo, Jun 9, 2011.

 1. S

  Somoleo Member

  #1
  Jun 9, 2011
  Joined: Sep 22, 2010
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  INAUZWA:

  RAV 4; 5-DOORS; BLUE COLOUR; YEAR 1996; MILEAGE 145,000km; MANUAL.

  INAMILIKIWA NA MWANAMKE MFANYAKAZI AMBAYE SASA AMENUNUA GARI MPYA "AUTOMATIC" NA HIVYO KUAMUA KUUZA ILE YA AWALI (RAV 4)

  BEI YA KUANZIA NI MILIONI TISA (9,000,000/=).
  TUMA SMS YA BEI AMBAYO WEWE UNAWEZA KULIPA (QUOTE) ILI KUNUNUA GARI KWENDA NAMBA: 0788-230578.

  WACHACHE AMBAO WATATUMA BEI YA KURIDHISHA WATAJULISHWA KWA UJUMBE MFUPI KWA KUPITIA NAMBA ZAO WALIZOTUMIA KUTUMA UJUMBE (QUOTE) NA PIA WATAKARIBISHWA KUKAGUA GARI NA KUFANYA MAZUNGUMZO YA KINA JUU YA UNUNUZI WA GARI HIYO.

  WOTE MNAKARIBISHWA
   
 2. Fisadi Mkuu

  Fisadi Mkuu Member

  #2
  Jun 9, 2011
  Joined: Mar 4, 2011
  Messages: 72
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkuu bandika picha tuweze kuiona
   
 3. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #3
  Jun 9, 2011
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  :mimba:
   
 4. c

  chibidula Member

  #4
  Jun 9, 2011
  Joined: Jan 3, 2011
  Messages: 63
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  please weka picture ili tuweze kutathimini!
   
Loading...