Recent content by SOBY

  1. SOBY

    Perfumes za kike bei nzuri'

    Nauza perfumes za like kwa be I rahisi, original genuine/money back guarantee! On their authenticity. 1. Beyonce heat, 100mls 2.Glow by JLO 100mls 3. Roberto Cavalli ... serpent 100mls Hizi zote ni 80,000/= David Beckham, Shakira,Animale ... 50mls kwa 50,000/= Gift sets 1. Be be 100mls...
  2. SOBY

    Bashe amlipua Membe

    Afadhali amesema.
  3. SOBY

    Wanawake wawili wamgombania General David petraus

    Unapo bet chips zako zote kwenye poker!! yaani hela zako zote.
  4. SOBY

    SHARP PV 300 sidekicks

    SHARP PV300 LX Sidekick.... 10 in stock. Made in Japan, brand New unlocked comes with a box, new battery, USB charger, Adapter, Manual. Specs: Qwerty keyboard, 3G, 3MP camera with flash and autofocus, video,internet, LCD screen 3 inches, black, Opera mini OS, downloadable games supported ...
  5. SOBY

    Ona wenzetu waliko..!!

    Kwani nyie hamjawahi kuona movies za James Bond?
  6. SOBY

    Hoja ya Mkonge kuimaliza CCM Tanga - Zitto na Mnyika watikisa Korogwe

    Unachoshindwa kukielewa ni kuwa hii hoja ilishazungumziwa bungeni. Na serikali inafanya uchunguzi. Sasa kuipitisha kinguvu na ku-override kamati ni kama aina fulani ya uanasiasa kuingilia utaalam. Kama tatizo ni ukiritimba wa kamati, labda unaweza kuwa na hoja. Ndio maana umeambiwa walikuwa...
  7. SOBY

    Hoja ya Mkonge kuimaliza CCM Tanga - Zitto na Mnyika watikisa Korogwe

    Umeelezea vizuri..... Actually Zitto naye ana hoja nzuri, ila kuna research na publications nyingi ambazo zinagongana kuhusu Trend ya synthetic fibres na katani vs Oil prices... Kuhusu environmental savy societies, hilo bado ni questionable kwa sababu trend inaonyesha kuwa China ndiyo imeongeza...
  8. SOBY

    Kenya - Tanzania border closed over row on vehicle levy

    Labda kabla ya kuandika (neno baya, ban) ungejiuliza kama intergration and competition are antagonistic or not? Kwanini iwe bei rahisi kutumia bandari ya Mombasa? Ilhali operation costs za Mombasa ni kubwa kuliko za Dar?.... hata Jomo Kenyatta operation costs zake ni kubwa kuliko Dar, hata...
  9. SOBY

    Majibu ya Kigwangalla: Utatuzi wa Ajira kwa Vijana wa Tanzania?

    Wote vijana, na wote mnavaa kijani. Ila mkuu wewe ni mheshimiwa mbunge na mwenzako wala si diwani. Unavyochambua hoja zako... dah!! yaani very shallow. Mwangalie au msaome Mchambuzi humu jamvini, halafu jifasnanishe na ukarudie kuandika upya! Mfuko huo ningeomba uchanganue source ya fedha, aina...
  10. SOBY

    CHADEMA jimbo la Segerea yapata viongozi wapya,wasomi na makini

    Mbona unajichanganya hapo kwenye nyekundu??... fafanua mgogoro uliomtoa "Mpendazoe" na kumuweka "Kisheri"
  11. SOBY

    TAARIFA juu ya maombi ya CCM kuwa Dkt. Willibrod Slaa awanie ubunge Jimbo la Arumeru Mashariki

    Mimi ni CCM A....wala usiwe na wasiwasi na hilo. Mimi ni mwanachama wa CCM na mshabiki wa Yanga, hilo wala sifichi. Ila kukujulisha tu,taarifa hujibu taarifa. Au taarifa kama hii hujibu interview kwa mfano ya kipindi kizima kutoka kwa mwakilishi au msemaji wa chama au kundi fulani. Taarifa kama...
  12. SOBY

    CCM kumtwisha mzigo Lowassa Arumeru Mashariki

    Meru ni tofauti na Arusha. Nawashangaa watu wanaofananisha Arusha NA meru. Wameru ni kama wamachame, na wanasikilizana lugha zao na wamachame ila asili ya makabila hayo ni wamasai walihamia arround 17th century. Wameru na wachaga huwa hawapatani sana kifikra. Kanisa la kilutheri ndio kama local...
Back
Top Bottom