CHADEMA jimbo la Segerea yapata viongozi wapya,wasomi na makini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CHADEMA jimbo la Segerea yapata viongozi wapya,wasomi na makini

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mikael P Aweda, Feb 19, 2012.

 1. Mikael P Aweda

  Mikael P Aweda JF Gold Member

  #1
  Feb 19, 2012
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 2,934
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Heshima yenu wakuu,

  Baada ya kushindwa kuendana na kasi mpya ya Chadema viongozi wote wa Chadema jimbo la segerea walijiuzulu wiki iliyopita na hivyo kutoa fursa kwa viongozi wapya kuchaguliwa leo. Viongozi wapya waliochaguliwa ni kama wafuatao.

  Mkiti wa Jimbo; Mchele Kisheri: Graduate wa Chuo kikuu ktk masuala ya uendeshaji wa Banki na Fedha. Kwa sasa anafundisha ktk mmoja ya International School hapa Dsm. Ninamfahamu vizuri, Alipata ajira ktk benki 2 hapa mjini akaziacha na kuamua kufundisha ili apate muda wa kujenga chama. Aliresign kazi ya benki kwa kuwa anatoka ofisini saa moja usiku. You can imangine how serious he is.

  Katibu wa JIMBO; Amani Antoni Mgeni: ( Naye ni mwl wa International school mojawapo hapa Dsm. Huyu siyo Amini Antoni Mgeni wa Mlimani Tv, bali Amani ( Not Amini) Ila wao ni ndugu.

  G. Barandage - Katibu Mwenezi toka kata ya Kiwalani. Huyu ni kada machachari sana.

  Mhasibu wa Jimbo Ramadhan Chiki al maarufu ustadh toka kata ya Buguruni.

  Mjumbe wa Mkutano mkuu Taifa - Azuri Mwambagi ambaye pia Diwani wa kata ya Segerea.

  Wajumbe 4 wa katamati ya utendaji.

  1 - Christopher Andendekisye - Rais wa Daruso Chuo kikuu cha Dsm -2004 - 2005 ambaye pia alikuwa Bosi wangu- Nilikuwa waziri wake wa Afya na nafahamu kasi yake kubwa sana ya utendaji. Anatoka kata ya Kimanga. Anafanya kazi ktk mmoja ya NGO ya kimataifa.
  2 Buhari Mgonyezi - kutoka kata ya Kinyerezi.
  3 Ezekiel Kachare

  4 B. Saidi, anatoka kata ya vingunguti.


  Tetesi za kusikitisha
  Habari za kusikitisha na ambazo hazijathibitishwa (ni tetesi za awali) ni kwamba, baadhi ya viongozi wa jimbo la Segerea waliojiuzulu kwa shinikizo la viongozi wa kata za jimbo la Segerea kutokana na kushindwa kutekezeza programu za Chama, wanashawishiwa au wako ktk mazungumzo na viongizi wa CCM (MAJINA KAPUNI) ili wahamie CCM Na kuitukana Chadema majukwaani. Habari zinasema viongozi hawa ambao ndio hasa waliosababisha viongozi wote wa jimbo kulazimishwa kujiuzulu wako ktk hatua nzuri na za mwisho za kuhamia CCM kama deal zitaenda vizuri. Deal inazungumzwa kama ni viongozi hao kupewa pesa au vyeo ndani ya CCM, haijajulikana vizuri. Viongozi wa CCM wanawataka viongozi hao kwa hali na mali ili kama kesi iliyoko mahakamani ya jimbo la Segerea itabatilisha matokeo ya uchaguzi wa Jimbo la Segerea, basi viongozi hao watakuwa mtaji kwa CCM wakati wa kampeni inayotarajiwa huko mblele ya safari.

  Nawasilisha
   
 2. Ngalikivembu

  Ngalikivembu JF-Expert Member

  #2
  Feb 19, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 1,908
  Likes Received: 355
  Trophy Points: 180
  Nakushukuru mkuu kwa habari njema.

  Mwakani nagraduate hivyo nina mpango wa kuacha kazi serikalini ili nifanye kazi ya chama. Michael nipet directives pa kuanzia.
   
 3. MD25

  MD25 JF-Expert Member

  #3
  Feb 19, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 3,078
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Safi sana! Chadema ni chama makini na kina mvuto wa kweli kwa vijana!
  Tuzidi kujipanga, chadema hii nchi ni yetu very soon!
   
 4. only83

  only83 JF-Expert Member

  #4
  Feb 19, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 444
  Trophy Points: 180
  Mapambano yaendelee,hakuna kulala,hakuna kutazama nyuma...
   
 5. MtamaMchungu

  MtamaMchungu JF-Expert Member

  #5
  Feb 19, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 3,694
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  Kisheri namfahamu vizuri, tulikuwa nae pale IFM. Mwanzo alikuwa Magamba (CCM), lakini alichakachuliwa kwenye uchaguzi wa tawi la CCM IFM. Muda mfupi baadae akachukua kadi ya CHADEMA.

  Namuamini katika kujenga hoja na kuzitetea, but I've always lacked confidence in the former Magambas and their true intentions, I hope he proves me wrong.
   
 6. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #6
  Feb 19, 2012
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Let them go..... kama kirusi kinaondoka hiyo si habari ya kusikitisha ni habari nzuri aliondoka mwalimu watakuwa wao.
   
 7. Radhia Sweety

  Radhia Sweety JF-Expert Member

  #7
  Feb 19, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 4,448
  Likes Received: 345
  Trophy Points: 180
  Vipi Mwita Maranya naye kajiuzulu? Nasikia ana mpango wa kuitukana Chadema jukwaani.
   
 8. K

  Kishili JF-Expert Member

  #8
  Feb 19, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 293
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Waliosababisha Mpendazoe aibiwe kura mchana kweupe ni viongozi mamluki wa chama bora wametoka waliipenda migogoro waifuate watakako si CHADEMA Hongereni Segerea
   
 9. M

  Molemo JF-Expert Member

  #9
  Feb 19, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Mkuu jaribu kufanya utafiti ili uheshimike.Mwita Maranya ni kiongozi katika jimbo la Ukonga.
   
 10. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #10
  Feb 19, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 152
  Trophy Points: 160
  Yani huu ni msako wa mlango hadi mlango.

  Viva CDM!
   
 11. Radhia Sweety

  Radhia Sweety JF-Expert Member

  #11
  Feb 19, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 4,448
  Likes Received: 345
  Trophy Points: 180
  Kwahiyo Ukonga hakuna mgogoro unadhani?
   
 12. SOBY

  SOBY JF-Expert Member

  #12
  Feb 19, 2012
  Joined: Sep 19, 2011
  Messages: 1,265
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Mbona unajichanganya hapo kwenye nyekundu??... fafanua mgogoro uliomtoa "Mpendazoe" na kumuweka "Kisheri"
   
 13. nashy

  nashy JF-Expert Member

  #13
  Feb 19, 2012
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 679
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  big up kwa kupata viongozi wapya. Wote waliohamia magamba wamepotea kisiasa, kabour Amani, Masumbuko Lamwai, Tambwe Hiza, shitambala na wengine wengi. Kama wanataka watumike kwa muda mfupi na elimu hawana wamekwisha, maana watawadanganya tutawapa kazi baada ya muda wanawaambia hawana sifa.
   
 14. Babuu blessed

  Babuu blessed JF-Expert Member

  #14
  Feb 19, 2012
  Joined: Oct 14, 2010
  Messages: 1,340
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  Mkuu aweda kata tabata mbona inasahaulika.jitahidini kufanya mikutano ya kuamasisha ifikapo 2014 serikali za mitaa tuchukue sisiem washauza open space zote tumewachoka
   
 15. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #15
  Feb 19, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,010
  Likes Received: 1,815
  Trophy Points: 280
  Mkuu Aweda nakumbuka ulihama toka Ubungo ukawnda maeneo ya Segerea na kama nakumbuka vizuri ulikuwa na nia ya kugombea cheo fulani huko. Vipi mambo yameendaje manake sioni jina lako miongoni mwa majina hayo ya viongozi.

  Mkuu pia umesema Kisheri ana degree ya mambo ya fedha toka Chuo Kikuu lakini jamaa anasema alikuwa naye IFM, nijuavyo mimi IFM siyo chuo kikuu, imekaaje hii? Halafu viongozi wengine umeweka majina tu bila wasifu wao. Tusaidie basi wasifu.
   
 16. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #16
  Feb 19, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Habari njema sana hii. Tupige hatua mbele zaidi.
   
 17. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #17
  Feb 19, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,010
  Likes Received: 1,815
  Trophy Points: 280
  Mkuu viongozi wengi wametoka CCM hata Dr. Slaa naye alitoka CCM baada ya kuchakachuliwa kwenye kura za maoni za ubunge huko Karatu. Je ina maana naye humwamini kama Kisheri?
   
 18. kinya

  kinya JF-Expert Member

  #18
  Feb 19, 2012
  Joined: Feb 20, 2009
  Messages: 482
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  dah hizi ni habri njema kwan viongoz waliokuwepo walikuwa c wabunifu kunawakati waliuza kadi zikiwa hazijakamilika viwanja vya liwiti p/r wakiwa na uncle mpendazoe kwa ahadi wangetafuta watu kwa kuwa alert tho cmu zao wakachukua namba lakin mpaka leo cjao mrejesho labda sasa
   
 19. MtamaMchungu

  MtamaMchungu JF-Expert Member

  #19
  Feb 19, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 3,694
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  Times have changed tangu wakati wa Slaa kuhama CCM na leo. Kikubwa ni nafasi ya Chadema leo sio ya miaka ile. CHADEMA sio tu ni chama kikuu cha upinzani, pia ni tishio kwa "ufalme" wa CCM kwa hivi sasa.

  All am asking for is more vigilance na former Magambas. We should do a thorough homework on them. Kama homework zilifanyika, no objections, good luck.
   
 20. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #20
  Feb 19, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 15,029
  Likes Received: 3,052
  Trophy Points: 280
  Namkubali sana huyu Andendekisye wakati huo wa mgomo wa 2004 akijulikana kama 'Ande'

  Najiandaa na mie huu mwaka niache kazi rasmi nikavae gwanda ili kuimarisha harakati na kuijenga ngome...MAPAMBANO YA KWELI,UHURU WA KWELI.
   
Loading...