TAARIFA juu ya maombi ya CCM kuwa Dkt. Willibrod Slaa awanie ubunge Jimbo la Arumeru Mashariki

Kama wewe kweli ni mwanachadema basi utakuwa Mamluki, hii press release ipo sawa kabisa, kumbuka hii release haiendi kwa wasomi peke yake mnaotaka just a summary. Hii inamfikia hadi babu yangu kule Kazuramimba. Hivyo inahitaji kuwa self explanatory.

Nakubali kutofautiana kimtazamo katika hili mkuu Patriote na wala sitakuona mamluki!I still see it with a lot of redundants.Let us agree to disagree.
 
Hivi huyu Makene ameenda shule kweli? .... Namlaumu John Mnyika kwa kudelegate madaraka kwa Makene atoe tamko bila yeye Mnyika Kulifanyia uhariri.
Hapana, mimi nadhani John Mnyika alijitoa makusudi kwenye hili tamko maana aliona hali make sense, hujui kuna internal pressures gani humo ndani za kutoa toa matamko, sio kila kitu anajiamulia Mnyika, akaona duu, hapa nikitia saini mimi ndio nitaonekana li jinga fulani hivi. Simlaumu Mnyika kwa hili kabisa. I want to believe that's what happened.
 
Nadhani utakuwa ccm B
Mimi ni CCM A....wala usiwe na wasiwasi na hilo. Mimi ni mwanachama wa CCM na mshabiki wa Yanga, hilo wala sifichi.
Ila kukujulisha tu,taarifa hujibu taarifa.
Au taarifa kama hii hujibu interview kwa mfano ya kipindi kizima kutoka kwa mwakilishi au msemaji wa chama au kundi fulani.
Taarifa kama hii kujibu maombi ya Nape, kitu ambacho ni wazi kuwa siyo azimio la chama bali maneno tu ya mtu, inaonyesha kuwa watu mmekaa kikao na kuamua "Jamani tumsuteni huyu !"

Jaribuni kuwa busy na mambo ya maana...... Tshirts, combats, leaflets ..... mwageni shule hewani Arusha n.k thats what we call publicity.... siyo kusutana.
 
Nilishasema hapa kuwa Dr WS alishakuwa mbunge 10 years ilopita hakuna sababu tena ya yeye kwenda Bungeni, awe mbunge ili iweje? Bunge lililopita alikuwepo katibu mkuu na naibu wake. hili la sasa yupo m/kiti, naibu katibu, mwanasheria, mkurugenzi itikadi. hao hawatoshi hadi na katibu nae awe mbunge? hivi mbona hatuoni CCM ikishinikizwa kumpeleka Mukama huko Arumeru kugombea? au Mukama hana viwango vya kuwa Mbunge?

Chadema ina watu wengi sana wanaoweza hiyo kazi ya Ubunge lakini ina wachache sana wanaoweza kazi ya ukatibu mkuu. mtu keshakuwa mbunge vipindi viwili fanya kazi zingine za chama waachie wengine wakawe wabunge. Sera za CCM za mtu kuwa mbunge hadi azeekee bungeni hatuzitaki ndani ya Chadema.
 
1. Hakuna aliyesema kuwa ubunge umedharauliwa, ila kilichoelezwa hapo ni kuwa Dr. Slaa keshavuka hiyo level, yeye ni Presidential material. CDM is forward looking hivyo si busarakwa Dr. kugombea ubunge ilihali alishasimama katika kugombea nafasi ya urais,Kama Slaa angesimama Arumeru, CCM hao hao wangeleta maneno mingi kuwa CDM si strong na kinaona hakiwezi kuongoza nchi thats why Slaa karetreat na kugombea Ubunge,Usisahau kuwa hii ni Siasa Kiongoz. Aidha, hakuna aliyesema kuwa Dr. Slaa atasimama nafasi ya Urais uchaguzi ujao, just read between lines. Mara nyingi CDM inasema na hata katika hii taarifa imesemwa kuwa CDM kina utaratibu wa kuteua/kupata wagombea kupitia vikao halali vya wanachama wake.

Mbona Mbowe kagombea Hai ili hali alishakuwa Mgombea Urais 2005 au umelisahau hilo? Tatizo hapo si Slaa kugombea Ubunge tatizo huo ubunge anagombea jimbo gani. Ingekuwa jimbo lililo wazi ni karatu unadhani huyo DK WS asingekubali kugombea?

Anachojaribu kutunza Slaa ni heshima yake tu maana anajua uhakika wa kushinda ubunge nje ya karatu na ngumu.
 
Majibu mazuri,ingawa yangeweza kuboreshwa zaidi
Tuepuke kauli linganifu kama ubunge ni hadhi ya watu fulani na uraisi ni watu fulani
 
Huyo Slaa wenu atautafuta urais hadi Yesu anarudi na kamwe hataupata. Eti Slaa hana hadhi ya kugombea ubunge. Ha ha ha ha ha ha, acha nicheke mieeee. Kwahiyo hata Waziri Mkuu ana hadhi ndogo kuliko Slaa? Mweeeeeee
 
This is too low for Chadema. Huu ujinga wa kutaka kujibu hata kauli za walevi unaweza kuipeleka Chadema pabaya. Sikutarajia kbs chadema kujibu hata hili tena majibu yaliyojaa ukakasi mwingi kiasi hiki.
 
Nimeona kichwa cha habari kwa mbali kwenye gazeti la Mwananchi..limepambwa na picha ya mbowe pamoja na Dr.Slaa kinaongelea suala la namna hiyo...Kama ni uzushi au ni kweli..Cshauri Dr.Slaa agombee Arumeru Mashariki nafasi ya Ubunge.,Nafac anayoitumikia sasa inaisaidia sana CHADEMA..endelea na nafasi hiyo kiutendaji Dr.Chama kiendelee kukubalika zaidi.,Tunafurahia kuona upinzani wa kweli against CCM...
 
Sio kila wakati unazi tu, jaribu kuipa fursa ata kidogo akili yako kufikiri. Ulimbukeni huu wa kukosolewa mnakimbilia eti mtu wa magamba utawagharimu sana. Utaandamana na nani? inaonyesha jinsi ulivyo mvivu wa kufikiri na usiye jua wigo wa demokrasia. Am very skeptical on your view. You need to learn more on elementary politics kabla ya ku-shout all the time with political blindness in the umbrella of "CDM adopter".

Mkuu nakushauri achana na mambo ya CDM.Kama ukifanya kitu adui yako akilakamika jua imemgusa kisawasawa.Wewe ni mwanamagamba sasa unalalamikia nini mambo ya CDM.Narudia kukuambia kwa mara nyingine nitukane kadiri upendavyo kutokana na upeo wako finyu lakini Penda usipende Dr Wilbroad Slaa ataapishwa kuwa Rais wa awamu ya tano.And take these words from me.
 
Back
Top Bottom