manuu
JF-Expert Member
- Apr 23, 2009
- 4,064
- 10,745
naona una matatizo ya kufikiri ndo maana hunielewi . Kama hujui historia ya wameru nyamaza .
Wacha kashfa na ukabila wewe, wapi we umesoma hiyo historia,Acha kuleta historia zenu za vilabuni hapa.
naona una matatizo ya kufikiri ndo maana hunielewi . Kama hujui historia ya wameru nyamaza .
Mkuu ritz Siafikiani na wewe ila ushauri kwa mimi ningependelea abaki kama hidden technical organizer kwanini,
CDM itatumia mapungufu mengi na ya chama cha CCM kwa jina la EL na ndipo CCM itakaposhindwa ilo jimbo na kumbuka watu wa AR sio mbumbu ingawa huyu jamaa ana power kubwa ila nguvu ya umma ni mbaya zaidi hata akitumia dola aitasaidia pale AR panaitaji technical analysis ya ushindi wa mezani sio wa nguvu. mimi nashauri atafutwe kijana mwenye mvuto na kidogo alionekana bungeni ni afadhali kushinda hawa wazee na EL abaki kama Hidden organizer. ni mawazo tuu.
WWanabodi,
Chama cha Mapinduzi (CCM) kina mpango wa kumbebesha mzigo mbunge wa Monduli, Edward Lowassa, kwenye mapambano ya kuchukuwa Jimbo la Arumeru Mashariki..
Sababu zinazotolewa na baadhi ya viongozi waandamizi wa CCM pamoja uongozi wa CCM Arusha, ni kwamba Lowassa ni mwanasiasa mwenye ushawishi mkubwa katika siasa za Arusha.
Machi 9 mwaka huu kampeni zinaanza na Aprili Mosi upigaji kura utafanyika.
Wananchi kadhaa wa Arumeru, wanaozungumzia uchaguzi huo mdogo wa Arumeru wanasema wazi Lowassa, ndio pekee anayeweza kujibu na kusikilizwa na jamii inayoishi katika jimbo hilo.
Ikielezwa kwamba Slaa, ana ushawishi mkubwa kwa wakazi wa Arusha, ushawishi ambao unaweza kupanguliwa na Lowassa pekee miongoni mwa makada wa chama tawala.
Arumeru kuna makabila makubwa mawili Wameru 66% na Wamasai, ambao wengi wanamkubali sana Lowassa.
Unajua kwangu mimi Arumeru ndio Arusha yenyewe wameitenganisha tu ili mradi kuijenga majimbo mengi zaidi. Lakini kama Chadema watamtumia zaidi Lema na Dr.Slaa ktk hotuba na kampeni sioni kabisa CCM wataweza vipi kutoka maana Lowassa pamoja na kumtetea sana Bibie ilikuwa aibu tu kwa chama. Pengine wachukue nguvu waliyoitumia uchaguzi mkuu 2010 lakini tu wakumbuke wakati huo Lema hakuwa na nafasi sasa hivi msema ovyo huyu akipewa Ugali wa EL mbona kuweka mboga itakuwa rahisi..Mkuu Gerlad,
Labda nikuulize ukipewa nafasi hutoe ushauri kwa CCM nani angoze mapambano Arumeru, ungempendekeza nani?
Wacha kashfa na ukabila wewe, wapi we umesoma hiyo historia,Acha kuleta historia zenu za vilabuni hapa.
Mkuu Gerlad,
Labda nikuulize ukipewa nafasi hutoe ushauri kwa CCM nani angoze mapambano Arumeru, ungempendekeza nani?
Ohoooo anaenda nyumbani kkufanya Kampeni manake nilisikia Lowasa si Mmasai, Lowasa inasemekana kuwa ana asili ya Meru so sitashangaa akirudi nyumbani kwao kufanya kampeni
Mkuu Gerlad,
Labda nikuulize ukipewa nafasi hutoe ushauri kwa CCM nani angoze mapambano Arumeru, ungempendekeza nani?
ritz hivi agrey mwanri yupo wapi? huyu jamaa ni jembe mno CCM akuna mfano naye mpelekeni Arumeru plse huyu anaweza kubadilisha upepo mzima wa AR cause jamaa ana Data na ashindwi hoja pia kuelezea mchakato mzima wa maendeleo ya arumeru
List
Mwanri agenda maendeleo ya wana Arumeru na bajeti yake kwa ujumla Alamashauri zote
Magufuli Agenda mabarabara kwa ujumla Arumeru
Simbachawena Agenda Bungeni kwa ujumla na majibu ya CDM kwenye mikutano yao
Sendeka huyu ni mzuri wa kupinga au kujenga hoja hata kama ni za kweli na zikawa si za kweli
January agenda kujenga hoja ya posho na kodi za nyumba kwa wapangaji
Kinana agenda kuweka wazee wote Arumeru kukisupport chama
Sita agenda Ufisadi yeye aliruhusu mijadala na bila yeye yasingekuwepo ivi sasa izi atazijibu ikiwa chadema itatumia kama ngao yao
Na vijana wengine wakiwepo pia wakina mama na mabinti wabunge waende kupiga kambi bila kujali nyadhifa zao.
Ila mzee CCM Du watu wenye mvuto wakutafuta namna hii ikiwa mna wabunge 300? kuna kazi ya ziada ya kukisafisha chama wengi waliopo ni matumbo yao chama washakisahau kabisa maoni
Nitakuja tena baada campaign kuisha.
Meru ni tofauti na Arusha. Nawashangaa watu wanaofananisha Arusha NA meru.Unajua kwangu mimi Arumeru ndio Arusha yenyewe wameitenganisha tu ili mradi kuijenga majimbo mengi zaidi. Lakini kama Chadema watamtumia zaidi Lema na Dr.Slaa ktk hotuba na kampeni sioni kabisa CCM wataweza vipi kutoka maana Lowassa pamoja na kumtetea sana Bibie ilikuwa aibu tu kwa chama. Pengine wachukue nguvu waliyoitumia uchaguzi mkuu 2010 lakini tu wakumbuke wakati huo Lema hakuwa na nafasi sasa hivi msema ovyo huyu akipewa Ugali wa EL mbona kuweka mboga itakuwa rahisi..
Meru ni tofauti na Arusha. Nawashangaa watu wanaofananisha Arusha NA meru.
Wameru ni kama wamachame, na wanasikilizana lugha zao na wamachame ila asili ya makabila hayo ni wamasai walihamia arround 17th century.
Wameru na wachaga huwa hawapatani sana kifikra. Kanisa la kilutheri ndio kama local government ya wameru, na wameru wamekuwa wakitaka kuwa na dayosisi yao tofauti na dayosisi ya kaskazini. Mkuu Lyatonga alishawahi kusuluhisha mgogoro huu na kuna kundi la wameru lilimchukia kwa kurejesha dayosisi kwa wachaga.Enzi hizo alikuwa CCM.
Kuhusu kupeleka wachaga kupiga kampeni, ni bora wampeleke Mkuu Slaa mwenyewe..... huyu wameru watamsikiliza kuliko Mbowe au Mrema AU Lema..... wameru haswa wazee wako very sensitive kwa wachaga kuwatawala, mara nyingi huwaambia waishie hukohuko Arusha mjini..... kwani huko wachaga ndiyo wamejazana kuliko Meru.
Kuhusu Lowasa, ni ukweli kuwa Lowasa atamfunika Cmpaign manager yeyote atakayetokea CDM. Hii haina ubishi, ukibisha hii utakuwa unajidanganya. Ila binafsi simfagilii Lowassa, bora tukose jimbo. Huu uchaguzi utakuwa very close, hakuna atakayeshinda kwa kishindo... sahauni hilo!
Disclaimer: Wazee na wameru asilia ndiyo maoni hayo yana apply kwao, ila vijana wengi na wapo na Joshua Nasari, hili halina ubishi. Kwa hiyo, hii ni kama Igunga.... vijana na wageni versus Wazee na wenyeji asilia.
Inaelezezwa kwamba uamuzi wa CCM Mkoa wa Arusha, wanachama wa Arumeru na wa Arusha kwa ujmla kumtaka Lowassa, kuongoza jahazi katika kampeni hizo za Arumeru.
Umetokana ukweli kuwa changamoto nyingi ambazo zinahitaji mtu jasiri kama Lowassa, kuzitolea ufafanuzi.
Inasemekana CCM Arusha wanakwenda Arumeru na kauli mbiu moja tu kurejesha jimbo letu. Mambo mengine baadae.