Ona wenzetu waliko..!!

mmmh! dunia zaidi ya uijuavyo lolz!
tutafika??? mmh.....
watafika watakaokuwepo mia elfu moja ijayo sio mchezo! tutakuwa tushasepa sie.
 
kuna kipindi kilikuwa kinarushwa na press tv wanaonyesha jinsi hayo mabasi yanavyo fanya kazi majini na nchi kavu nilishangaa sana.

Ok, sikubahatika kukiona hiki kipindi...hizi channels za bongo zipo kijoti mno...wao kutwa kucha ni vichekesho tu
 
Hebu tusibaki kusema wenzetu wako mbali, hili gari halikutengenezwa na raisi wa nchi..!!! hebu tufunguke; haya ni mawazo ya mtu mmoja, hata wewe ukiamua kufanya kitu inawezekana, chukua hatua...!!!

Mawazo mengi yamebakia kuwa hypothesis tu...wameyakashabrasha!!
 
Sasa pale kigamboni si bora kutumia mabasi ya namna hiyo, kuliko mabilioni ya kujenga daraja linalokusudiwa kujengwa.

Hili nalo neno...hata kkile kivuko bora wakitoe walete haya mabasi kwenye ule mradi wa mabasi ya kasi
 
105wnlk.jpg

2zob2q9.jpg

25pibd5.jpg

4uf1c4.jpg


Gonga hii link uone wenzetu walipo...Cool Amphibious Manufacturers Ie

Cool Amphibious Manufacturers Ie

kweli wapo mbali na ninafikiri bado wabongo tuko ndani ya shimo
 
Jamaa alijaribu kutengeneza gobore akafungwa maisha...! Hii ndio tz bana,ingekuwa huko majuu angeendelezwa kipaji chake lkn ndio hivyo kazaliwa tz nchi isiyo thamini ubunifu wa wananchi wake.
 
Ndugu zangu, kwenye sherehe za miaka 50 ya uhuru wetu mwaka jana pale uwanja wa uhuru, JWTZ walionyesha magari mbalimbali yaliyotengenezwa hapa nchini (Made in Tanzania) ykaitembea na yamebeba shehena; kwa hiyo kuna hatua tumepiga, ni suala la kuongeza pale tulipofika! Tusiwe watu wa kulaumu laumu sana kama vile tumelaaniwa, tuanze kufikiri na tuwe na mawazo chanya! Nchi hii sio ya JK pekee ni yetu sote na kila mmoja wetu ana mchango wake!
 
Ndugu zangu, kwenye sherehe za miaka 50 ya uhuru wetu mwaka jana pale uwanja wa uhuru, JWTZ walionyesha magari mbalimbali yaliyotengenezwa hapa nchini (Made in Tanzania) ykaitembea na yamebeba shehena; kwa hiyo kuna hatua tumepiga, ni suala la kuongeza pale tulipofika! Tusiwe watu wa kulaumu laumu sana kama vile tumelaaniwa, tuanze kufikiri na tuwe na mawazo chanya! Nchi hii sio ya JK pekee ni yetu sote na kila mmoja wetu ana mchango wake!

kama nchi ni yetu sote, kwa nini kikwata anang'ang'ania ikulu wakati kesha shindwa, kwa msingi huu atupishe!!!!!
 
Tutafika huko lini wakati Mzee Makamba alishasema kwamba tukimaliza uchaguzi mmoja tunajiandaa na mwingine!! What does this imply? Hatuna muda wa kufanya mambo ya maendeleo, kila siku ni siasa siasa siasa!!!!!*

Tumefikia mahali ambapo wataalamu wetu(Maprofesa, madaktari, wachumi, ma-engineer, n.k.) wanaacha taaluma zao na kukimbilia siasa!!!

Katika nchi yetu wanasiasa wamekuwa kama miungu-watu kiasi kwamba mihimili mingine yote ya dola inalazimishwa kuwa SUBMISSIVE kwa wanasiasa hata katika mambo ya kipumbavu!!! Je tutafika kweli?
 
more commitment and ivestment in human resource z needed bt siju km CCM watatufanya tufike huko, kikwete mwenyewe ndio huyo
 
Back
Top Bottom