Natamani na namuomba mungu anijalie uzima,na ninawaombea Wana CCM wote uzima,ili siku upinzani ikichukua dola wawepo wote, na katiba mpya waisome vzl sijui wataficha nyuso zao wapi, na sijui watakuwa wageni WA Nani maana watalia na kuabika Dunia nzima, japo siku haijulikani lakini itakuwa mda si...