Mbele ya CHADEMA hamna fisadi asiyesafishika.

na mwanasheria mkuu vipi amesharudi kutoka Canada?
 
Mimi napenda Sana chadema lakini sikuizi naona kama tunapotea njia, japo democrasia imeminywa lakini tuwe na msimamo mmoja siyo mtu katoka upande mwingine kwa tuhumu za Rushwa, ufisadi, afu anakuja huku tuna Sema chadema Safi, kama mfisadi no full stop [emoji113]
 
Kwa hiyo chadema huwa mnawasingizia watu ufisadi?
Huna akili wewe! Umeandika mwenyewe kuwa wanaokimbilia cdm ni mafisadi kisha unauliza swali la kipuuzi kabisa. Kama uliwajudge wanachama wote na chama chao cha cdm kuwa mafisadi swali ulilouliza majibu umeshayatoa.
Mmetokea wapi nyie mlioishia kufuga mafisi badada ya kwenda shule?
 
Ile list of shame ilitangazwa na Chadena
 
Wewe bwege mfukua makaburi mlianzisha mahakama ya mafisadi ya nini? Kama mna guts washtakini mahakamani na sio kwenye media! Yaani nawe unapelekwa kama takataka kwenye maji ya mvua? Uwe unatafakari kabla ya kuja hapa na inaonyesha unajikomba full kupitia ukabila wako. Avatar yako ni shahidi. Chenge unamjua?
 
Chenge akihamia chadema wewe ndiye utakayemsafisha
 
Wewe bwege mfukua makaburi mlianzisha mahakama ya mafisadi ya nini? Kama mna guts washtakini mahakamani na sio kwenye media! Yaani nawe unapelekwa kama takataka kwenye maji ya mvua? Uwe unatafakari kabla ya kuja hapa na inaonyesha unajikomba full kupitia ukabila wako. Avatar yako ni shahidi. Chenge unamjua?
namna unavyomjibu unaonesha wewe si wa kawaida.
 
Wewe mleta maada haujawahi hata siku moja kujiuliza ni kwa nini watu wanaamua kuacha dhambi na kumfuata YESU,Hivi unajua maana ya repent na Salvation??.CHADEMA ni sehemu ambayo watu wanafundishwa UZALENDO na wanakuwa wazalendo kweli.Hii ndiyo maana CCM inanunua wazalendo toka CDM wakidhani wataambukiza uzalendo na huko kwao.
 
Chadema haina hata ofisi ,wanaiba ruzuku ya chama
 
Back
Top Bottom