Basi la NEW FORCE-GOLDEN DEER namba T 445 DDT limepata ajali Kitonga

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,899
Iringa: Taarifa ya ajali ya bus la NEW FORCE-GOLDEN DEER namba T 445 DDT muda huu kitonga

Habari zaidi tutawajuza kadri tutakapo kuwa tunapata habari

KITONGA.jpg
 
Jamani hii tarehe siyo ya kusafiri lakini nisilaumu mtu kila mtu ana shida zake. Poleni wote mliofikwa na madhiha haya. Ee Mola turehemu na hao waliopatwa na ajali.
 
Ndugu nimetaka kucheka ila kwa uzito wa tukio nimejizuia nikaishia kutabasamu. XMass ishakuwa mbaya kwa wahanga ndugu yangu. Mungu awasimamie wahanga ktk matibabu yao ili warudi ktk hali zao walizokuwa wameridhika nazo
Hahaaaaaaaaa sasa tufanyeje
 
Back
Top Bottom