pambe samanini
JF-Expert Member
- Oct 27, 2015
- 461
- 264
Yanayosemwa yalenge kujenga nchi. Maana maandiko yanasema tuheshimu kila mamlaka iliyowekwa na Mungu.
ukim uua Lisu mmoja wanazaliwa wengine Lisu 100.hakika Mtumishi wa Mungu amesema ukweli ambao Magufuli anatakiwa aufuate nchi ni ya vyama vingi kikatiba halafu anafanya figisufigisu na kuwafunga mikono wengine apigane nao halafu ajisifu eti amewapiga mbona siasa za kishamba sana?hivi hakuna watu ndani ya chama cha ccm wanaouona ukweli wa wazi?Kwangu mimi Kakobe amefungua njia ya watukuto kuogopa kusema ukweli. Mmoja hawezi kushinda walio wengi.
Well spoken mkuu.Habari wanajamvi!
Ndivyo unavyo weza kusema, Wamekosa hoja wamekuwa viroja. Duniani hakuja wahi kuwa na kaburi la ukweli, ukweli siku zote ni mchungu. Ukweli hupendwa na wenye kukumbatia haki tu basi. Ukweli hata ukinong'ona hupaa kama moto wa nyika wakati wa kiangazi kikali.
Naam, Mtu wa Mungu Zakary Kakobe kanena ukweli mtupu siku ya sikukuu ya Noel. Ule ni ukweli tena ukweli mtupu.
Vijana legelege wasaka vyeo na wazee waoga wameamua kumvaa Kakobe huku wakijua watashindwa kabla ya vita kuanza. Vijana wengi ndani ya ccm ni wajinga na wasaka vyeo! Daima huelekea upepo unako vumia. Huwa hawatumii akili. wana waza vyeo na maisha rahisi hata kama kufanya hayo ni kuhatarisha Amani ya Nchi. Wazazi wao nao wako taabani kifikra ndio maana 'mwenzao' anawageuza kama senene kwenye kaangio la moto.
Wange tamani wote tuwe wajinga. Wakituambia bomoa nyumba ya Mbowe, tubomoe bila kuhoji.
wakituambia msiende kumuombea Lissu kanisani wote tukubali bila kuhoji kulikoni?
Kakobe kawa mbeba maono! Kasema kwaniaba yetu. Amekataa kuwa mjinga, ameita beleshi ni beleshi na siyo kijiko kikubwa.
Anae taka kuombewa ni sharti awe na hofu ya Mungu. Awe mkweli, asiwe mtu wa visasi wala upendeleo.Aheshimu wakubwa na wadogo na awe na Lugha ya upole.
Hongera kakobe, hakika unastahili kukaa madhabahuni.
Una sababu gani ya kuwaombea uzima wana-CCM wauaji wakubwa? They killed Mawazo, they kidnapped Ben, they attempted to kill Lissu, they killed Mbwambwo; they are killers I wish Mungu awachome wote!Natamani na namuomba mungu anijalie uzima,na ninawaombea Wana CCM wote uzima,ili siku upinzani ikichukua dola wawepo wote, na katiba mpya waisome vzl sijui wataficha nyuso zao wapi, na sijui watakuwa wageni WA Nani maana watalia na kuabika Dunia nzima, japo siku haijulikani lakini itakuwa mda si mrefu,
Ndiye msemaji wa ikulu?Mwenyekit wa wakazi mkoa wa Bashite. Cccccm
Upinzan wa kingunge na Sumaye na lowasa au upi unaosema wwNatamani na namuomba mungu anijalie uzima,na ninawaombea Wana CCM wote uzima,ili siku upinzani ikichukua dola wawepo wote, na katiba mpya waisome vzl sijui wataficha nyuso zao wapi, na sijui watakuwa wageni WA Nani maana watalia na kuabika Dunia nzima, japo siku haijulikani lakini itakuwa mda si mrefu,