wanufaika wa mikopo watakiwa kuanza kulipa.

wanufaika wa mikopo watakiwa kuanza kulipa.

Saguda47

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2016
Posts
11,784
Reaction score
22,103
kuna taarifa zinasambaa kuwa eti waziri Ndalichako amesema waliokuwa wanufaika wa mikopo kutoka HESLB waanze kulipa kama mkataba ulivyokuwa unasema au wafike loan board kueleza hali zao kiuchumi.
 
je wadau habari hizi ni za kweli?
 
kuna taarifa zinasambaa kuwa eti waziri Ndalichako amesema waliokuwa wanufaika wa mikopo kutoka HESLB waanze kulipa kama mkataba ulivyokuwa unasema au wafike loan board kueleza hali zao kiuchumi.
Taarifa hiyo ni yaukweli mkuu Hakuna Mtu aliyewahi kufilisika kwa kuzaa watoto wengi wanapaswa kulipa ili nawengine wakopeshwe.Sio wanakalia kuizodoa serikali tu eti imeshindwa kutoa mikopo kwa wahitaji wakati na wao ni sababu moja wapo.
 
Hakuna asiyetaka kulipa deni lake, shida ajira hakuna na mazingira ya kujiajiri ni magum mno ukilinganisha na elimu tuliyoipata c rafiki kujitegemea
 
NI KWELI HYO TAARIFA KWENYE KIPINDI CHA TANZANIA MPYA TBC1 KASEMA
1. WALIO NA AJIRA WALIPE
2. AMBAO WANAFANYA SHUGHULI BINAFSI KASEMA WAWASLIANE NA BODI WATAPEWA UTARATIBU WA KULIPA
3. WALIOAJIRIWA WAMEONYWA WAWEKE MBELE KULIPA DEN BADALA YA KUCHUKUA MKOPO MPYA.

WASIO NA KAZ WAENDELEE KUPAMBANA

NB: MI NACHOKUMBUKA MKATABA WA MIAKA ILE UNASEMA UTAANZA KULIPA UKIPATA KAZI
 
Hatulipi hta kwani hao waajiriwa wamenyimwa haki za kupandishwa vyeo miaka mingapi sasa hizo hela zinatoka wapi za kuwalipa wao..hujamuwezesha MTU kulipa alipe nini?hya kazi ndio hizo chali hazitoki...wapambane na hali yao
 
kuna taarifa zinasambaa kuwa eti waziri Ndalichako amesema waliokuwa wanufaika wa mikopo kutoka HESLB waanze kulipa kama mkataba ulivyokuwa unasema au wafike loan board kueleza hali zao kiuchumi.
Wanufaika wa mwaka gani
 
Yaani nchi hii wanufaika wa loan board humaliza chuo wakiwa bankrupt persons ukikusanya assets zao zote haziwezi hata kulipa robo ya deni loan board
Sasa watalipaje
 
Taarifa hiyo ni yaukweli mkuu Hakuna Mtu aliyewahi kufilisika kwa kuzaa watoto wengi wanapaswa kulipa ili nawengine wakopeshwe.Sio wanakalia kuizodoa serikali tu eti imeshindwa kutoa mikopo kwa wahitaji wakati na wao ni sababu moja wapo.
Hakuna mtu aliyefirisika kwa kuzaa watoto wengi! Hawajui kwa dunia ya sasa ukizaa watoto idadi ambayo hutaweza kuihudumia hasa kupata elimu bora ujue uzao wako ndo utakuwa mtaji wa wanasiasa/wanyonyaji!
 
Back
Top Bottom