Recent content by SOBIBOR

  1. S

    Mgogoro Waibuka Ofisi za Chadema-Mwanza

    thibitisha kauli yako
  2. S

    Madaktari bingwa Muhimbili waanza mgomo rasmi

    tunahitaji "authenticity" ya taarifa yako
  3. S

    Madaktari bingwa Muhimbili waanza mgomo rasmi

    aibu kwa taifa
  4. S

    Mwenye uwezo wa kutatua mgogoro wa ma Dk ni Lowassa pekee!!

    mbona alikuwepo kama waziri mkuu alishindwaje kuwaongezea masurufu kibao?
  5. S

    Madaktari bingwa Muhimbili waanza mgomo rasmi

    watasingizia CDM tena
  6. S

    Ole Naiko mrithi wa Lowassa monduli

    Kwa taarifa yako si huyo lowassa wala ole naiko watakuwepo 2015.
  7. S

    Uhakiki wa wafanyakazi wa umma wabaini madudu kedekede!

    ninavyofahamu mimi zoezi hili limeanza kufanyika mwezi uliopita lakini ingekuwa vizuri mleta mada angakuja na hata takwimu kindo hata kama sample ni ndogo tungepata cha kuongea lakini kwa hili story ni plain sana
  8. S

    2012 African Cup of Nations.

    Sijajua sana maana commentators wamesema sunzu anachezea tp mazembe na mwanzoni alikuwa anacheza ligi ya ufaransa kabla ya kwenda TP
  9. S

    2012 African Cup of Nations.

    Watch Live Zambia vs. Sudan Online Video Africa Cup of Nations - Football
  10. S

    Wabunge CCM wamlipua Kikwete, WADAI WANAKERWA JINSI RAIS ALIVYOMGEUKA PINDA, MAKINDA

    wabunge wa ccm wameumbuka kwa hili na JK amewathibitishia watanzania kuwa CDM jembe.
  11. S

    IKULU: Rais akutana na Asasi za Kiraia

    Picha kwa hisani ya MICHUZI
  12. S

    Mama Rwakatare aichongea JamiiForums

    anapenda sasa serengeti boys. yupo mtangazaji mmoja wa redio yake alimwozesha mke lakini mpaka kesho anakula vitu kama kawa.
  13. S

    Watanzania wengi wadaiwa sugu wa Bodi ya Mikopo... Mwongozo tafadhali...?

    Ni kweli marafiki wengi nimemaliza nao pale UDSM nawajua wanakazi zao nzuri kabisa hawajaanza kulipa kwa kisingizio kuwa eti mbona wale waliomaliza kabla ya 1994 hawajalipa. Tena kiasi wanachodaiwa hakifiki hata 1.5 millioni ni aibu. Tatizo tulilonalo na serikali yetu ni mfumo mbovu wa ajira...
  14. S

    Waziri wa afya kikaangoni!

    mwaka huu kazi wanayo mbona ya jairo hawajayamaliza?
Back
Top Bottom