Mzito Kabwela
Platinum Member
- Nov 28, 2009
- 18,904
- 7,746
huo moyo ndio ulimtuma achukie jf ambamo hata mnaomtetea mumo humu? namnafaidika humu?
mkuu mimi sijamtetea bali napinga kum-attack huyu mama personally
huo moyo ndio ulimtuma achukie jf ambamo hata mnaomtetea mumo humu? namnafaidika humu?
nishule ambazo zinashika mkia tanzania.Nyongeza kwenye Hadidu za Rejea
Shule anazoziendesha: Alizianzishaje, anaziendeshaje na sababu za kuziita St. Maries.
Angekuwa kweli anaponya angemponya mwanae wa kiume aache pombe, mlevi mbwaaa.. miaka 4 iliyopita ilibaki kidogo aliwe ndogo0 coz ulevi . ashukuru rafiki yangu kumnusuru.
Ni mshirikina na alikuwa muumini mzuri tu wa marehemu shekhe Yahaya na ndiko walipokutana na kufahamiana na ****** nakuwa starting journey ya huo u mp wa viti maalumu,nitapeli wa viwanja vya wanyonge,na anapepo wa ngono ajabu kiasi kwamba alisha wahi mbaka dereva wake
ndio maana wengine tukiwakumbuka watu kama akina regia tunatokwa na machozi.. why regia wakati watu wa kufa wamejaa kibao pale bungeni..mtu analipwa kwa ajili ya kuwatetea watu badala yake anazuia vitu vinavyoiamsha serikali sababu tu yeye ananufaika na familia yake... mtu kama huyu ana tija gani kwa ustawi wa watz..
Huyu mama mchungaji kama kayasema hayo basi kuna nyuzi zimemgusa humu. Hawa wana siasa wasiokubali kupokea "criticism" walikuwa hawafai kabisa kuwa wana siasa. Anafikiri JF ni kanisani kwake humu, kila atakalo sema watu watamchekelea tu.
Hawa ndio wale wanaoingia siasa kwa sifa na pesa zao na si kwa kuwa ni wana siasa. Mie alivyoingia nikajuwa anhaa sasa, tumepata msemaji ambae atakwenda mjengoni kufanya mambo, kumbe si lolote si chochote. Waondoe tu hivi viti vya kupeana.
Kweli kabisa, wanafanya biashara, wanafunguwa mashule kwa majina ya watakatifu na kuyahusisha na makanisa, yote kukwepa kodi tu. Hizi sheria zifanyiwe mabadiliko. Vyombo vyote vya dini vijiendeshe bila kutegemea misamaha ya kodi wala ruzuku za Serikalini. Wajanja wachache wanatumia dini kuwanyonya wengine. Huo ndio ukweli.
mkuu mimi sijamtetea bali napinga kum-attack huyu mama personally
Ni mpakwa mafuta wa Bwana ambaye kupitia yeye wengi waliokuwa na matatizo ya kiroho walifunguliwa
Hivi bado tu hajanyang'anywa Mang'ula Machine Tools kwa kuwa alitakiw awekeze kwenye line ya shughuli ambazo kiwanda kilikuwa kinafanya yeye akageuza kuwa shule. Alivinja masharti ya ununuzi.
......Nguruvi3: The Citizen Reporter Dar es Salaam. Some 17 erstwhile public firms that were privatised under a plan initiated in 1993 in a bid to revamp production have so far been shut down after failing to deliver, a report released recently by a technical committee has revealed.The government had at that time decided to sell the wobbling public companies to private investors who, it was presumed, could revive them following the States lack of capacity to run them.According to the report which has been submitted to the Parliamentary Public Organisations Accounts Committee (POAC), 17 firms out of 74 which were privatised have since stopped operations altogether.
Firms that have closed up shop after they were taken up by private investors have been listed as: Mwanza Tanneries, which was sold to Africa Trade Development Limited (Mwanza), Tanzania Bag Corporation Limited Mills owned by TPM (Kilimanjaro) and Morogoro Ceramics Ware Ltd which had gone to Hans Nails Ltd (Arusha).
Others include: Morogoro Shoes Co. Ltd sold to Guled Shoe Co. Ltd (Morogoro), Zana za Kilimo Mbeya that went to CMG Investments Ltd (Mbeya), Arusha Metal Industry bought by Mr Mfahamiko (Arusha) and Mbeya Ceramics Company that is in the hands of Kyela Valley Food Ltd (Mbeya).
The list also include Nyanza Engineering and Foundry bought by Nyanza Cooperative Union and Mwanza Municipal Council (Mwanza), Kilimanjaro Textile Mill Ltd that went to Iron and Steel Co. Ltd (Arusha), Musoma Textile Mills that was bought by Kiltex Ar/METL (Mara) as well as Polysacks Co. Ltd which went to Prebond Ltd (Dar es Salaam). There were also Tractor Manufacturing Co. Ltd that went into the hands of Quality Group Ltd (Dar es Salaam), Steel Rolling Mills bought by Unique Steel Rolling Ltd (Tanga), Rukwa RTC bought by Rukwa (2000) Ltd (Rukwa), LRT Motors that went LRT (2000) Motors Co. Ltd/MEBO Co (Dar es Salaam), Ubungo Garments Ltd bought by VMB Holdings Ltd (Dar es Salaam) and Moshi Hand Tools (Kilimanjaro).
At the same time, the report shows that 42 privatised firms have been performing well while there are 15 others, which are operational but performing dismally.
According to the report, most investors have failed to comply with conditions in the contract they signed with the government. The committee suggested that the government should repossess the factories that have failed to deliver.The report also discloses that several investors were no longer showing interest in the revival or development of the erstwhile State firms and have instead left machineries and buildings to lie derelict.
Analysing the situation at the Mangula Mechanical and Machines Tools Limited (MMMT) which went to St Marys International School in February, 2007, the report shows that the investor has totally failed to develop the factory as agreed and in its proposal has asked the government to terminate the contract.
According to the report, several machines were removed, buildings destroyed while heavy machineries were abandoned, paving the way for scrap metal vandals.Some of the private companies never bothered to even get started after the factories were handed over to them over a decade ago.
The report also states that Mwanza Tanneries Limited, which was privatised by Tanzania Leather Association Industries (TLAI) and African Trade Development Ltd has also stalled.The report notes that the investor has so far done nothing to develop the factory and that there was no sign anything would be done about it soon.
Many machinery including the effluent treatment plant (ETP) have been stolen and the remaining machines are in bad shape, most of premises have been converted to a garage and a store for mining machinery owned by Caspian Ltd, reads a part of the report.
However, it was established that in other areas the committee failed to get the contract and other documents, which were used during the privatisation of some of the firms.According to the report, the committee has failed to get a contract, which was signed between the government and the Pure Bond Limited during the selling of Morogoro Ceramics Limited in 1993.
But the report states that the firm was sold at Sh452 million and that the investor was allowed to transport the machinery to Nigeria.The factory has been abandoned and there is no single activity taking place in the premises since all machinery has been removed, reads a part of the report.
Moreover, the committee established that some investors have switched to operations other than those they were expected to carry out.According to the report, the Polysacks Company Ltd (BAGCO LTD) was now a warehouse for salt produced by the Kensalt factory.
The committee reveals that generally, in many cases, investors have violated the terms and conditions of contracts, but since there were many weaknesses during the signing of the agreements; the government has little chances of repossessing the firms.
The 99-page report advises the government that there is a need to terminate contracts with all non-performing investors.It should write letters to all investors forbidding anyone to destroy or take away any machinery. It should also order those who owe the government money to pay with immediate effect, the report recommends
wema hawadumuumenena vyema sana,kama kuna watu wengi sana wangestahili kufa badala ya dada yetu Regia akiwemo huyu mama ila basi tu yeye mwenyezi ndiye anayechagua nani atangulie.R.I.R DADA REGIA MTEMA TUTAKUKUMBUKA DAIMA.
Weka reference mkuu!
- ilikuwa wapi,
- ilikuwa lini,
- ktk mazingira gani,
- dereve anatikana wapi, jina n.k.
Jukwaa hili siyo facebook mkuu!
Bwana (Mungu) haangalii kama binadamu aangaliavyo, kwakuwa binadamu hutazama sura ya nje bali Bwana hutazama MOYO
bwana (mungu) haangalii kama binadamu aangaliavyo, kwakuwa binadamu hutazama sura ya nje bali bwana hutazama moyo