Madaktari bingwa Muhimbili waanza mgomo rasmi

Kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni ana uzito wake kuwepo nchini, Mbowe yuko USA badala ya kushughulikia mgomo wa madaktari kwa upande wa upinzani kapanda ndege na kuondoka. Viongozi wa nchi hii ni waajabu sana wanakimbia matatizo.

Umelewa? Upinzani walishafanya kazi yao Bungeni, walitakamjadala ufanywe, wabunge wakauchuna.Mbowe akibaki nchini, ndiye tuliyempa HAZINA? Mbowe ndio serikali ?
 
HIyo ndio gharama ya kua na mawaziri wasiojua hata umuhimu wa nafasi walizonazo.. kwa hotuba aliyoitoa huyo waziri wa afya pale bungeni ijumaa nilitegemea hili litokee... hotuba ilijaa dharau kwa madaktari na uongo wa karne... kumuongelea Ulimboka kwenye hotuba yote kama yeye ndio amegoma ni uendawazimu na ukosefu wa akili tena kwa mtu mnayesema ana PHD.. PHD my foot
Inaelekea PhD ya Mponda ni ya chuo kile kile alichopatia PhD shehe wetu Barubaru. Uwezo wao wa kufikiri unashabihiana kabisa.
 
Maazimio ya kikao cha specialists muhimbili leo
total tools down kutoka Emergency mpaka Labour Ward....zengwe hiloooooooooooooo
 
Mimi namshauri rais awaachie nchi wengine wanaoweza kuongoza, tumezidi kuwa masikini kupita kiasi sasa hili la madoctor litatumaliza kabisa. Asiwe mbishi kama mwenzake wa Syria.
 
uongo huooooooooooo niko Muhimbili acha uongo wa mchana, acha siasa kwenye mambo ya msingi.
 
utaingia kwenye mkondo wa wauaji kama madaktari, wananchi wataogopa kuleta wagonjwa wakati huduma kwa wastani zipo
 
sasa mkuu kama ulikuwa SEWAHAJI na ukaona wagonjwa wamelala mlangoni si ungepiga hata picha kupitia simu? si unaelewa tena mimi tomaso bwana ni kama wachina wao husema picha huongea zaidi kuliko maneno

labda simu yake nikamata mwizi.
 
Na wewe umegoma kurusha thread moja kama kanuni inavyotaka..... unaanzisha thread 2 kwa mada moja
 
It is the beginning of the end of the CCM government,its had to imagine that this country has a
president cause he is never said anything about the strike this shows us how not serious this guy is.
 
nimeshasema na ninarudia kusema...serikali yenu inaua raia wake......watanzania amkeni
 
Back
Top Bottom