Recent content by Sniper don

  1. S

    Serikali iache kufungia vyuo vikuu binafsi kwa ukosefu wa wahadhiri. Yenyewe ndio iwapeleke na iwalipe mishahara

    Vyuo vikuu viendane na ajira ili wanaomaliza wapate matunda ya elimu yao...sio mtu anasoma then ajira hakuna anashinda mitaani mpaka aaliyosomra anasahau.. Now institution nyingi zinaajiri certificate na diploma so degree nyingi zinazagaa mtaani maana mashirika hayana pesa za kuwalipa
  2. S

    Leo nimegundua huu ni moja ya uchawi mkubwa kwa wanawake

    Safi sana mkuu..itamsaidia kupunguza dharau
  3. S

    Kuna mapenzi hapa? ushauri jamani nimechanganyikiwa

    Mkuu Leo haujamtag mahonda..kama umeachana nae nisaidie namba zake na mm nijaribu bahati yangu
  4. S

    Namtafuta dada yangu anaitwa Irene Nyamizi Faustine

    Pole mkuu..Mwenyezi mungu muweza wa yote atawakutanisha inshaalahh
  5. S

    Mliooa na mnaopata mshahara wa Tshs. 300,000 au chini ya hapo mnawezaje kumudu familia?

    Ukishaoa milango ya rizk inafunguka mkuu ukiwa na mwanamke mwerev hyo laki tatu mtapanga matumizi na itatosha kabisaa.. Ukiwa single hyo laki tatu kwa mwezi haitosh hapo haujala na bado haujawa na michepuko miwili au mitatu ..ukioa utapunguza zinaa na anasa so hyo hela inatosha kabisaaa
  6. S

    Moja ya vitu vinavyosumbua akili ni kumiss kitu au mtu

    Upepo wa kisulisuli umeanza kazi
  7. S

    Kukiri

    Endelea na umalaya wako tu..mwanakuyatafuta mwanakuyapata
  8. S

    Kanda ya Ziwa kuongoza vs Kaskazini walipo wenye akili; Upendeleo?

    Wewe mleta mada ni k ..sana,unatakiwa kuamini kuwa mtoto yeyote akiboreshewa mazingira anafaulu vizuri na usiamini kwenye ukanda. Kanda ya Ziwa is the best kwa kila kitu ndugu maisha yenu ya ujanja ujanja yamefikia mwisho,mitihan haivuj tena.
  9. S

    Arusha Airport vs KIA na Chato Airport vs Mwanza Airport

    Mm nilikua nataka airport ziwepo kila kata..na kue na mandege kama yote na usafir wa daladala usiwepo..nahisi inawezekana
  10. S

    Eliud Kipchoge INEOS159 Challenge

    Huu Uzi hautaki umbeaumbea
  11. S

    Hamjambo

    Fact..
  12. S

    Wanasheria saidieni wanafunzi waliocharazwa viboko na mtu asiye mwalimu kwa makosa yasiothibitishwa kimahakama

    Kama mtoto hachapwi hawez kua na maadili aisee mtoto lazima ajengewe nidham ikishindikana kwa maneno.ajengewe kwa viboko..hongera mkuu wa mkoa tunaitaj maadili kwa wanafunzi
  13. S

    Mkuu wa mkoa wa Mbeya Albert Chilamila, awatandika bakora Wanafunzi

    Mimi naona ni kawaida mashulen kuna wanafunz wana vibur na akili mbaya na wamekosa malez mazur kwa wazaz wao na hudharau sana walim hvyo ni sawa alichofanya kama onyo na fundisho.. Tuliosoma miaka ya nyuma tunajua jins viboko vilivyotuweka kwenye mstar na hadi tukafikia malengo. Naomba adhab ya...
Back
Top Bottom