Baby M
JF-Expert Member
- Apr 18, 2012
- 1,037
- 415
Acha wakuibie tu na utaibiwa sana usipo acha utoto..
hahahah.. umeonah eeh.. bado hajakua maskini.. kanaandika kama mtoto wa secondary.
Acha wakuibie tu na utaibiwa sana usipo acha utoto..
Nina hamu sana kuelewa ulichoandika...........
Ndo wanaume wa siku hizi hao,Mtoto atakuwa wake kweli anakuzuga tu,maadamu ashakubali kuwa alishakucheat na huyo bidada ujue kuna uwezekano asilimia 90% Mtoto ni wake.Cha msingi vumilia tu mana bado mapema.
Msitudanganye kwa hilo...mtupe viapo sisi, mle raha kwengine. Si bora iwe open marriage...sote tufaidi nje.we si mmefunga pingu za maisha? We ndo mke wake so vumilia kwenye ndoa yako hayo mengne yatapita
🤣🤣🤣🤣🤣🤣ulivyoambiwa kwenye shida na raha ulizani shida ni zipi
VUMILIA
mumeo ndo hivyo anapenda matunda lakini fruits salad
Mkuu Leo haujamtag mahonda..kama umeachana nae nisaidie namba zake na mm nijaribu bahati yanguPole sana. Kwa kuwa keshakubali ni kweli alitoka nje na kwa kuwa ushaingia ndani ya ndoa huna budi kusamehe na kuvumilia. Lakini kwenye nafasi ya uamini mtoa usimpe asilimia zote tena keshaweka doa.
Mambo ya kawaida hayo katika ndoa, shits happen. Ingawa sio sahihi. Ishu vumilia kuna mambo makubwan sana watu wanayapitiaHabari wana Jf.
Mimi ni msichana umri kati ya Miaka 23hadi25 nilibahatika kupata kijana ambaye tulipendana tukawa kwenye mahusiano takribani Miaka miwili hatimaye Mwaka jana December tulifunga Pingu za maisha sasa tunaishi kama Mume na Mke.
Lakini imani yangu imepotea kwake sababu nilipgiwa simu na mwanamke mmoja akiwa analia ananambia kuwa nini nmemfanyia ivo kumbe mume wangu amezaa na huyo binti mtoto ana Miezi mitatu.
Sasa nilipoeka simu loud ili mume wangu asikie alikiri kua ni kweli alitokaga nje eti mara moja ila hana uhakika kama ni mwanae,nishaurini jamani ni kweli itakua sababu mwanae?kwani imani imepotea juu ya mume wangu ukizingatia ndio kwanza tunamwezi tangu tufunge Ndoa.