Beatrice Kamugisha
JF-Expert Member
- May 18, 2019
- 762
- 6,979
1.Kuwa mwanachama wa chama Cha mapinduzi. Wanachama wengi wa CCM hasa wazee wanaamini zaidi kuhusu kukisaidia chama kuliko kuwasaidia Watanzania.
2. Malengo ya kisiasa ya wanaye. Wakina Riz bado wanasafari ndefu na malengo makubwa kisiasa, kwa JK familia Ni kipaumbele kuliko Tanzania. Akisema maneno yenye utata wataangaika na familia yake kwani haina Kinga.
3. Malengo ya kisiasa ya Mama Salma, huyu ni Mbunge wa viti maalum anayetamani mwakani kupata ubunge wa Jimbo, Jk asiponyamaza mama anaweza akakatwa jina
4.Silka au tabia binafsi- Jk hajawahi kuwa na msimamo mmoja bali ubadilika kulingana na alipo simama na wanaomzunguka.
5. Nafasi yake Kama Rais mstaafu- Ukistaafu na kuanza kuchokonoa utawala uliopo madarakana ni sawa na kuuza Uhuru wako. Bado JK anataka Uhuru wake.
Tusiyasau aliyosema leo ila pia tusimkumbatie nA kuandamana naye Kama mtu anayeweza kukemea uovu unaotendeka Bali tumchukulie Kama mtu aliyetaka kuwasilisha mtizamo wa Mwalimu.