Msijifanye / Msijidai hamjaisikia hii ' Kali ya Funga mwaka ' tafadhalini!

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,542
108,849
Wasichana msiolewe na wanaume mnaowazidi umri au mnaolingana, maana wanaume huoa baada ya kuwachoka mama zao, hivyo akirudi nyumbani akakukuta unafanana na mama yake lazima ahame tuBw.Alfred Luvanda - Makamu wa Rais wa shirikisho la vyama vya wachimba madini Tanzania.

Chanzo Habari: ITV TANZANIA

Ngoja sasa leo nijiandae ' Kuburudika ' na ' Comments ' za Watu na kuona jinsi ambavyo wanatirirka na kuserereka na hii Habari. Kwa Sisi ' TEAM NO KUOA HADI KIFO NA KIAMA ' wakiongozwa na Mimi Rais wao GENTAMYCINE hapa Kazi yetu Kubwa ni kuwa Watazamaji tu na tukiwaacha wale wanaohangaika Kuoa na Kuolewa ' Wapambane ' vizuri.
 
Kule nyumbani kwetu kuna fundi alikuwa ananijengea nyumba yangu miaka ya 2004 akasema kuliko uzeekewe na mke bora uzeekewe na nyumba majirani watakusaidia kujenga.. Natafakari sana hii kauli mpaka leo..
 
Kule nyumbani kwetu kuna fundi alikuwa ananijengea nyumba yangu miaka ya 2004 akasema kuliko uzeekewe na mke bora uzeekewe na nyumba majirani watakusaidia kujenga.. Natafakari sana hii kauli mpaka leo..

Kama bado yupo hai nakuomba umpe ' Shikamoo ' kwa niaba yangu tafadhali.
 
Mimi nafanya VAIS VESA

Kwasasa nikiwa kijana nakula wamama na wadada WALONIZIDI umri. Nikifika huko mbele Sasa naoa ka miaka 18 ili mitombewe vizuuuri na vijana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom