kimbendengu
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 8,047
- 15,227
Wanaume wenzangu hii inatuhusu hatuna namna tufanyekazi nimeweka hiyo picha kwa msisitizo
Adam hakutumia akili,ye alikulaje bila kuhoji tunda limetoka wapi
Mi alete tu,tutahojiana kabla ya kula