Liwale sehemu kubwa haina umeme, pia huduma za kijamii ni shida mpaka uende makao makuu ya wilaya hapo ndo angalau utapata mahitaji yako muhimu pia epuka mazoea na watoto wa kike wa kule ukijidanganya ukajihusisha naO kimapenzi utaoa na hapo sahau kurudi kwenu au kusaidia ndugu zako, maana wana...
Wanajamvi naombeni msaada wenu wa kupata shule nzuri maeneo ya DSM or Morogoro yenye sifa nzuri na iwe ni boarding tafadhari naombeni msaada wenu wa haraka.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.