Habari za saa hizi wapendwa wangu,
Leo marafiki ningependa tuongelee kuhusu insecurities za wanaume wetu wa kisasa.
Inawezekana wanawake sisi ndio chanzo cha wanaume wengi wasijiamini kwasababu walio wengi hawajafikia expectations zetu.Lakini wanaume mjiamini please dont let any woman put you down.If you are insecure na hujiamini hakuna mwanamke atakayekutaka.
Speaking from a woman´s perspective we women need men who provides security to us,who will guide us and protect us.We need men who will be there for us and stand out there for us.And when i say guidance,sio maguvu wala madharau na kejeli,"Mind your words they can make and break anything"
You might not have it now but if you stand to achieve your goals you will reach them.Its not about the money or other materialistic stuff its about you and how you place yourself out there.Hakuna mwanamke anayetaka mwanaume kigeugeu asojielewa.Kuwa na msimamo,jua nini unataka na pigania kukipata.Dont expect to grow roses while you are busy planting lillies.
Wanawake tuwe wavumilivu na wenye subira.Kama jamaa hajafikia standard guide him through it na najua wanaume zetu hawarekebishiki mpaka watake but usikate tamaa, ua lako kama unataka listawi lipalilie.Its your man walk with him through it. Only the strongest will survive.
At last if you are a good guy learn to appreciate,respect and cherish good people who are there for you.
Not all days are Rainy neither Sunny days.
Wasalaam, gorgeousmimi
MXIUUUUUUUUUUUUUUUUUUU! Lazima niwe MJUAJI si naishi mjini kwa jeuri yanguuuu! MNIONE MJUAJI, MNIONE INSANE HAINIPUNGUZIII HATA SENTI TANO KIPANDE BANK UPO HAPO? Hata ukiniona wa maana ITANISAIDIA NINI KWA MFANO? Kuniona kwako kwa maana hakunigei hata MB 8 tu.
Sasa basi hayo mawazo mpelekee MKEO unaempa kunya. As long as MB NANUNU MWENYEWEEE MAKAMUZI YALE YALE.
hutaki usisome nchi huru hii sio kunipangia cha kufanya huku naishi kwa jeuri yangu. Ushaona wapi? Nipishe kule. Mxiuuuuuuuuuuuuuuuu!
Judge not.............!Toka lini kinywa hiki kikamhubiri Mungu, you don't know the bible and its teachings. This shit you wrote is not christian teaching though you tried to immitate some christian words.
..serious state of inner turmoil...pacing back & forth..damn it!!
Hahaaaa! I HAVE YOU ALL WHERE I EXACTLY WANTED YOU. NOW IS SHOW TIME. Thank you for the audience. 1 WOMANS ARMY.
"some people are alive because its illegal to shoot them"
haka kamsemo kana tija sana!
so touching watu wakiona wameishiwa hoja wanaanza ku attack mtu personaly sorry lara 1 and take it easy my dear
NEVER EVER APPOLOGISE FOR ME FOR ANYTHING. I can handle these few losers. I have handled worse. WATCH ME TAKE CARE OF THIS LITTLE INCIDENT. I am Lara 1 remember. Never lost a feud in JF history and I NEVER HAVE NOR WILL APOLOGISE FOR SHIT.
At the least, I admire your confidence na misimamo. You always stand up to your word. Just that....
Mi nilijuaga JF ni jukwaa la watu wenye fikra pevu, sikujuaga ni la personal glory. Kwanini mtu akileta kitu kizuri ina kuwa tena'feud', na kumbe kuna kushinda 'malumbano'?, why are we so selfish? Kwanini mtu ukileta mada usipewe credit na appreciation zinazokustahili bila watu kuona wivu na biff? Still gorgeousmimi uko vizuri kichwani... Salute!!
Mi nilijuaga JF ni jukwaa la watu wenye fikra pevu, sikujuaga ni la personal glory. Kwanini mtu akileta kitu kizuri ina kuwa tena'feud', na kumbe kuna kushinda 'malumbano'?, why are we so selfish? Kwanini mtu ukileta mada usipewe credit na appreciation zinazokustahili bila watu kuona wivu na biff? Still gorgeousmimi uko vizuri kichwani... Salute!!