Ukiwa chuo, tegemea yafuatayo

Ukiwa chuo, tegemea yafuatayo

Hahahaha!!! Pia tegemea kuzima moto wakt mda wa kusoma ulikw mwng tu.
 
Pia tegemea kupata changamoto hujawahi pata mfn kukosa hela ya kula, also tegemea kupewa sup bila kutarajia
 
Hahaaa mi nna bahati mbaya miaka yote walinipanga na room mates wabishi kama mimi so vyumba vyote nlivyokaa ilikuwa ni full makelele
 
Mi ndo nataka manigga wabish wa dizain hyo sio unapangiwa na litoto la mamaaaa, au mlokoleeee, au ustaziiiii NO THANK U bora npange gheto kitaa 2
 
io namba 10 kuna ukweli? Wenye uzoefu please!
 
Mi ndo nataka manigga wabish wa dizain hyo sio unapangiwa na litoto la mamaaaa, au mlokoleeee, au ustaziiiii NO THANK U bora npange gheto kitaa 2

Kwani walokole sio wabishi?
 
Mi ndo nataka manigga wabish wa dizain hyo sio unapangiwa na litoto la mamaaaa, au mlokoleeee, au ustaziiiii NO THANK U bora npange gheto kitaa 2

daah,kwa hyo maostazi walokole mnatukataa au sio? daah baridi tu
 
Pia demu ata uwe mgumu aje namba lazma utatoa tu kwenye group discussion. Dem kuja ku discuss na kulala kwako ni kitu ya kawaida. Mwenzako anakula mzigo chini wewe umelala juu na ni mchana imefungwa kanga. Kuish na dem rum wiki nzima haend rum kwake nikubadili nguo ns kurud. Kupigiwa cm na demu mda wa menu tu ili umtoe lunch. Dem kuomba umsindikize mjini ili akuchune vizur. Lyfe la chuo ni shidaaaa
 
hhahahaaa
 
Back
Top Bottom