Usiwaze kiongozii
Amini umepitaa
Mimi nliingia nkajibu swali la kwanza fresh then kwetu najua walituwekea swali la pili gumuu na kusudi kutuvuruga maana lilikuwa out of our position tuliyoomba ila nliwaambia tu waskip to next question watarudia, hayo matatu yaliyobaki yalienda tena kwa kurelax...
soon yao ni kuitwa mwezi huu, mnaingia mwezi wa 3 training mpaka wa 6 then mnapangiwa vituo kureport mwezi wa saba mshaingizwa kwenye mwaka mpya wa fedha. Huu hauwahusu 😅
Hahaha you have to be positive always hata kama kitu huna imani nacho we amini kinawezekana. Sometimes mdomo huumba sasa ukijiwekea negativity mda wote unajiumbia nuksi mwenyewe. Inabidi umpe mtu matumaini ili awe na faraja pia. 😁
Ni kweli maana wewe ni MWENZETU hukauki hapa kulia na status mara unataka utumiwe screenshots za status za watu sasa unataka uletewe hotuba ya Raisi ambayo wameitrim dk 3 [emoji3]
Kiongozi jishughulishee usipende vitu vyepesi
[emoji28] sasa kama hapa tu anataka slope hivii kesho akiajiliwa ataweza mputa mputaa
Mpaka clip anataka atengenezewe kipande cha dk 3 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.