HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Kwa meneno haya ya Mama wetu mpendwa Leo, PSRS lazima wasuse yaan Leo wataliwa uno na mikeka yote itakuwa hadharani.
Yaan Leo hata kama Karibu alikuwa anakula valentine lazima aende ofisini kusaini barua zetu..

Alaaaaaaah mama kamwaga mboga na utumishi lazima wamwage ugali 😂😂
 
Sekretarieti ya Ajira , suala mtu kujua marks n status yake/kama kaferi au kafauru liwe wazi, kuna manufaa gani kubaki kua siri kwenu pekee?? Kama kuna eneo lina linaathiri afya ya akili ya waomb ajira ni hilo eneo.

Binafsi naamini Sekretarieti ya Ajira kwa kiasi kikubwa mmefanikiwa kusimamia michakato ya ajira bila upendeleo na mkapata imani ya jobless wengi na watanzania wengi. Maana kabla yenu hali ilikua tete, ukanda/ukabila ulikuwa wazi kabisa.

Hivi karibuni mtafanya mchakato wa kuajiri toka kanzidata (kwa alivyohidi Mh. Waziri), lakini wateja wenu hawajuii chochote kuhusu hatima yao, wanabaki kutafunwa na stress, maana hawajui status za saili za mahojiano.

Sekretarieti ya Ajira hamuoni kama hili suala linaweza hata kuwatia doa, mara baada ya ajira hizo kutolewa? Mfumo wa portal upo, baada ya oral mtu ajua wazi kama kafauru au la? ili hata kama kaferi akaendelee na shughuli nyingine za ujenzi wa Taifa.
 
Na wewe unaamini kuwa hizi ajira hutolewa kwa upendeleo kikanda?
Vijana hawajuii nchi ilikotoka hii, Sekretarieti ya Ajira kwenye eneo hilo imejitahidi sana kuhakikisha suala la ajira linakuwa la ushindani na si upendeleo. Mfano mzuri kaangalie wakati hlmashauri zilikuwa zinaajiri zenyewe, watumishi karibu wote walikuwa wa sehemu husika na wenye majina sehemu hiyo
 
Lakini malalamiko ya ucheleweshaji wa ajira hayakuwepo. Kwa sabb Kila mtu alikuwa ana fight kwa urefu wa kamba yake
 
Vijana hawajuii nchi ilikotoka hii, Sekretarieti ya Ajira kwenye eneo hilo imejitahidi sana kuhakikisha suala la ajira linakuwa la ushindani na si upendeleo. Mfano mzuri kaangalie wakati hlmashauri zilikuwa zinaajiri zenyewe, watumishi karibu wote walikuwa wa sehemu husika na wenye majina sehemu hiyo
wakiruhusu mashirika yaajiri TRA itajaa wakina masawe, shoo, rweyemamu n.k
 
Wanakera sn Lkn ndy tuwaache wafanye wanavyopenda. Ubinafsi upo ndani Yao hatuwezi kuutoa.
Mkuu shule zinatulemaza sana, kwamba ukiwa wa kwanza wewe ndio wanakuchukua. Ndio maana hata mtu unaweza ukamuuliza interview ilikuaje akakujibu ngumu, au sijamaliza maswali matokea yanakuja amepata 99. Hii tabia mbaya sana. Najua hii platform imeanzishwa kwa ajili ya kusaidia. Ila watu bado wanahisi wako shule, wanasahau kua uku mtaani rafiki wa kweli ni yule mnayesaidiana sio unayemuongoza.
 
Back
Top Bottom