HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Nimekuamini sasa ndugu😂😂😂😂
Tayari kashapewa Pole?!

Mi naamin Kabisa kuna watu wana Status tofauti tofaut Kwny Acc zao lkn watu wamekuwa wakifata Upepo Status inayopewa nafasi na matumaini Makubwa ni Flani so Unaweza kuta Mwingne akiona hvyo Status yake haisemwi Kwa taswira nzuri bhs hawezi kusema status yake Wazi Kwa sababu ya maneno ya watu.
 
Back
Top Bottom