Recent content by Smoke

  1. S

    Johnny Depp Vs Denzel Washngton

    washington denzel yuko juu, movie zake za ukwel kshenz, he uses his mind well in action.
  2. S

    temporary job

    yah bro, send me the link, i'll appreciate.
  3. S

    Special thread: Interesting (best) Quotes | Misemo yenye hekima ndani yake, Nukuu

    well... Better think again coz life is not about anger, it's about peace! It's not about power but it's about grace.
  4. S

    Hivi huyu NDODI wa starTV huwa mnamwelewa??

    sidhani kama ni vizuri, watanzania wako wangapi na atawafikia wangapi na kwa mda gani kama akienda kwa mmoja mmoja? Nadhani ni vema anachofanya ili mradi havunji sheria! Utaogopa kuelimisha watu wakati unaona watu wanakufa na kuugua, utaogopa kuwapa ukweli eti kwa sababu unaogopa kampuni? Na...
  5. S

    Askofu aisifia kampuni ya bia kwa kutoa fungu la kumi.

    Wonderful answer! Umejibu vizuri sana!
  6. S

    Kwanini kila kitu lazima tuseme ni Freemasonry?

    Hiyo ni kulingana na wewe, na mi nakushauri usome sana kuhusu hawa watu, i wonder mtu kama wewe mwenye access na internet unashindwa kuwafahamu kwa uzuri zaidi hawa watu! Bwana this is 21st century, vitu vipo kwenye internet tena mpaka vitabu vyao na malengo yao! So, buddy, you better read it more.
  7. S

    Want to be intelligent?

    Wanasaikolojia wameendelea kufanya uchunguzi kuhusu akili na IQ ya mtu. Wamegundua kwamba ili akili iwe faster kwenye kufikiri na kuamua, ni vema kufanya vifuatavyo; 1. Wahi kulala na wahi kuamka. Hii inasaidia kupumzisha akili vema na imethibitika kua watu wanaolala muda mfupi wako kwenye...
  8. S

    Hivi huyu NDODI wa starTV huwa mnamwelewa??

    Ndiyo, yupo ok bt maybe hukumsikia vizuri, ugali uliokobolewa ndio alisema tusile kwa sababu unakua hauna madini ya kutosha ya iodine ambayo yana speed up kusafiri kwa kasi kwa umeme wa meridian mwilini, pili blueband ni mbaya huo ni ukweli coz ukisoma kwenye cancer ya matiti na hypertension...
  9. S

    Nachanganyikiwa Nisaidieni, Nina Matatizo Makubwa Ya Kimapenzi

    Buddy, you are so smooth! Sometime dissapointment and failure can be a blessing in disguise, that a worse thing was about to come but God has taken it away because He knows you don't deserve that! Shukuru Mungu kakuepusha... na nani ajuae, pengine kulikua na hatari kubwa mbeleni?! Zidi...
  10. S

    SOMO LA JIOGRAFIA, NECTA, TAASISI YA UKUZAJI MITAALA NA UPUMBAVU WA WALIMU (O level)!

    Ni kweli mdau, pia vitabu vya jiografia havieleweki ni vipi hasa vinatakiwa vitumike, walimu wanachanganya wanafunzi, wanasema msitumie kitabu fulani na wakati huohuo mwalimu huyohuyo anatumia kitabu hicho hicho kutungia maswali na mitihan ya shuleni. Na zaidi ya hayo serikali inatoa syllabus...
Back
Top Bottom