Nachanganyikiwa Nisaidieni, Nina Matatizo Makubwa Ya Kimapenzi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nachanganyikiwa Nisaidieni, Nina Matatizo Makubwa Ya Kimapenzi

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Muke Ya Muzungu, Mar 27, 2011.

 1. Muke Ya Muzungu

  Muke Ya Muzungu JF-Expert Member

  #1
  Mar 27, 2011
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 3,451
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  Tangu 2008, nimekuwa na mchumba ambaye nilimpenda sana na tulitarajia kuona, bahati mbaya akatembea na waziri mmoja kijana, nilipogundua ilinibidi niachane naye. Baada ya hapo nikakutana na mdada mwingine ambaye nilikuwa naelekea kuanza uhusiano naye, kwani alinambaia kwamba yuko single. Kilochotokea ni kupigiwa simu kutishiwa maisha na mtu aliyejitambulisha kama boyfriend wa huyo mdada. Sikutaka kujua nini wala nini ilinibidi nikimbie kwani nilithamini sana uhai wangu. Hivi majuzi tu, nimekutana na mdada ambaye nimetokea kumpenda na tumewasiliana vizuri kweli, she has made me very happy just reading from her na kuingiwa na matumaini kwamba nimempata mwenza. Kilichobakia ni mimi na yeye kuzungumzia maisha ya baadae na kujuana vizuri. Hii excitement ilinibidi nimishirikishe shangazi yangu na hata rafiki wa karibu. Kwa bahati mbaya baada ya kumwambia rafiki yangu kumhusu huyu mdada, alistuka na kunyamaza. Alipofika nyumbani alinitumia ujumbe ulionistua kweli akiniambia kwamba mie ni kichaa, mbona nashobokea mademu wake? Sikumwelewa, kesho yake kaja kwangu na kuanza maneno maneno mengi na makali sana, heti sina adabu, kila mara natafuta mademu wake. Wanajamvini, sikufahamu kwamba huyo mdada niliyekutana naye alishawahi kutoka na rafiki yangu. Baada ya kumwelezea, huyu dada alikuja juu na hata kunitukana badala ya kuniuliza the whole stori

  Concern:
  Ni kwa nini kila mdada ninayekutana naye kitu kibaya kinatokea kama hivi? Naombeni maoni yenu. Kwani huyu dada wa mwisho nilitegemea kuwa dream girl mwenye qualities zote. Na kusema kweli, mimi siyo cheater, I have never cheated, and very laid back. I get alot of women come to me, but I am very scared. Hii incident ya mwisho imeniogopesha zaidi nachanganyikiwa sijui la kufanya

  Engineer | Ministry of Infrastructure
  Currently in China
   
 2. Nemo

  Nemo JF-Expert Member

  #2
  Mar 27, 2011
  Joined: Feb 22, 2011
  Messages: 662
  Likes Received: 475
  Trophy Points: 80
  Concern:
  Ni kwa nini kila mdada ninayekutana naye kitu kibaya kinatokea kama hivi? Naombeni maoni yenu. Kwani huyu dada wa mwisho nilitegemea kuwa dream girl mwenye qualities zote. Na kusema kweli, mimi siyo cheater, I have never cheated, and very laid back. I get alot of women come to me, but I am very scared. Hii incident ya mwisho imeniogopesha zaidi nachanganyikiwa sijui la kufanya

  My advise is, weigh out the similarities versus the differences of all these former girls and see if there is a pattern. The issue could be that
  that you are using same methods and criterias in selecting your patners over and over again , and yet you expect different results . There are plenty of good women out there you know!
   
 3. Globu

  Globu JF-Expert Member

  #3
  Mar 27, 2011
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 7,975
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  Poke kaka MmakondechiNtu. Riziki yako ikifika utampata wa kweli. Bora ulivyogundua mapema otherwise ungepelekeshwa.
   
 4. Kaka Mpendwa

  Kaka Mpendwa JF-Expert Member

  #4
  Mar 27, 2011
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 771
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  sure dada!
  mkuu kama mambo hayajakuendea vizuri kwa hao wasichana haimaanishi ndo mwisho wa dunia.
  Ni vyema kutokulazimisha mambo...ila ulimuuliza yule msichana kama kweli ana uhusiano na rafiki yako??
   
 5. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #5
  Mar 27, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,701
  Likes Received: 425
  Trophy Points: 180
  pole sana Kiongozi,muombe sana Mungu kama unamuamini bac na yy hatokupa kitu photocopy
   
 6. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #6
  Mar 27, 2011
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,219
  Likes Received: 84
  Trophy Points: 145
  unapenda sana mabint wa clasr fulani ambao kwa bahati mbaya wameshalipiwa. Tafuta wa kawaida ndugu
   
 7. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #7
  Mar 27, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  tehe tehe tehe! Mwambie acone vyaelea! Vna wenyewe hvyo! 2lia na umwombe Mungu, naamin atakuptia mke mwema! Pole kwa yte!
   
 8. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #8
  Mar 27, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,402
  Likes Received: 738
  Trophy Points: 280
  what you think about comes about.
   
 9. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #9
  Mar 27, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Daahhh
  kwa kweli
  Hizi safari za mapenzi hizi mmmmhhhbhh

  kwanza pole sana
  pili naona umemtete msichana wa kwanza
  Hakuna bahati mbaya kwenye ku cheat..
  Tatu huyo rafiki yako ni player inaekekea
  ana wasichana wengi kupita kiasi..

  Nway
  Ninacho kushauri ni usikate
  Tamaa
  Some time u have to go out of your comfort
  Zone to find your dream girl..
  kumtafuta partner wako wa maisha is never a smooth
  Ride ...
  Kumbuka siku inakuja na hizi zitakuwa hadithi
  Kila mtu ana partner wake hapa duniani
  We uko safarini kumpata wako..
   
 10. Elia

  Elia JF-Expert Member

  #10
  Mar 27, 2011
  Joined: Dec 30, 2009
  Messages: 3,442
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Inaonyesha unazama saaana kabla ya kuweka mambo sawa Broda, hao wa3 kilammoja unatwambia ulifika ya kufa mtu. Try that in red, Time will tell, don't be scared!
   
 11. Allymisi

  Allymisi Member

  #11
  Mar 27, 2011
  Joined: Mar 26, 2011
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Oh! So sorry my bro but don b Neither confused No discouraged just pray 4 God before anything u do, this is the only way of success throught of our lives BUT MANY PPLE UNDERSTAND NOT ABOUT IT!!!
   
 12. P

  Phillemon Mikael JF Gold Member

  #12
  Mar 27, 2011
  Joined: Nov 5, 2006
  Messages: 8,856
  Likes Received: 2,432
  Trophy Points: 280
  Naamini hutegemei kuowa bikira....you just need a decent wife material..

  Sasa naunga mkono kabisa kitendo cha wewe kumuacha yule msichana wa kwanza kama kweli alitembea na mkubwa mmoja...[kama kweli ulikuwa na ushahidi] ...usiache mwanamke kwa ushahidi wa kusikia ....ni lazima ujiridhishe bila shaka ...sio lazima kumshika red handed ..lakini ridhika mwenyewe bila ushawishi wa mtu....maana kwenye fitna za mapenzi mtu akimtaka msichana wako anaweza kukupa maneno ya uwongo pia..

  Msichana wa pili ulimuacha kwa kupigwa mkwara...that for a man is too low.....ukiwa na msichana una wajibu wa kumlinda na kujilinda....lets say hata sasa mtu anaweza kukuona na mwanamke akampenda akakupiga mkwara ukatimua?...wanaume kwa asili yetu tumeumbwa kupambana ili kupata mwanamke....hata wanyama pia hugombea mwanamke...hutakiwi tu kukubali kirahisi .......zamani baba zetu walikuwa wakipigana hado mangumi...ili kupata kuowa ..siku hizi tumestaarabika tunapambana kwa kutafuta attractions kwa mwanamke kwa njia mbali mbali..tabia,utanashati...hata pesa kiasi...
  Sielewi kwa nini uliamua kumuacha mwanamke kwa kutishiwa kwenye simu tu....ningekuwa mimi ..kwanza ningetaka uhakika wa mwanamke ..kama kweli kuna kitu kama hicho...na iwapo angenihakikishia hakipo ....ananipenda na labda huyo anayenitishia alimtaka akamkataa ..katika hali kama hiyo mwanamume YOU HAVE TO HIT BACK...SHIMBA BIT PIA....WASHIRIKISHE NA RAFIKI ZAKO NA HAKIKISHA UNAMJUWA HUYO MBAYA WAKO NA UMUELEZE WAZI KUWA HUTARUDI NYUMA.....mwisho atakuheshimu na mnaweza kuwa marafiki...

  KUNA MEDHALI INASEMA KUWA ...KITU KIZURI KULA NA NDUGU YAKO....I MEAN UNAYE RAFIKI..UMEMPATA MSICHANA NA IT HAPPEN AMESHAM DATE...HAKUNA HAJABU KWENYE HILO.....KWA MARAFIKI WA KWELI HAPA HUONGEA ...UNATAKIWA KUJUWA KAMA BADO WANA MAHUSIANO..,KAMA RAFIKI YAKO KWELI ANAKUPENDA NA HANA MIPANGO ENDELEVU NA HUYO MSICHANA ...HATAKIWI KUKUZIBIA....umuulize tu je anampango gani naye??? kama hana mpango wa kumuowa .na ana wasichana wengine..MUELEZE KUWA WEWE UNAMPANGO wa KUMUOWA......MARAFIKI WA KWELI HUACHIANA WASICHANA AT THE MOMENT LIKE THAT.....i know a lot of my friends ambao tukisoma wote university na kwa miaka yote kwenye group kunakuwa na msichana anatoka na mmoja wetu..lakini akaja kuolewa na mmoja wetu baadaye...tena kwa wastaarab hapo..wanaheshimiana na hakuna ambaye atakumbushia mahusiano ya nyuma......................HUYO RAFIKI YAKO ANATAMAA YA FISI ...MARAFIKI HUACHIANA YA NINI KUNGANGANI MSICHANA AMBAYE HUNA FUTURE NAYE WAKATI RAFIKI YAKO ANAMUHITAJI ZAIDI!
   
 13. MAMMAMIA

  MAMMAMIA JF-Expert Member

  #13
  Mar 27, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 3,822
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Sikumwelewa, kesho yake kaja kwangu na kuanza maneno maneno mengi na makali sana, heti sina adabu, kila mara natafuta mademu wake.
  Angalia nilipopiga mstari. Hapa nina wasiwasi na huyo rafiki yako. Inaonesha hata kwa hawa wasichana wawili wa kabla chanzo kilikuwa yeye. Yeye ndiye aliyekupa hiyo stori ya mchumba wako wa kwanza kutembea na waziri na ndiye aliyekupigia simu kukutishia kifo. Baada ya kumweleza dhamiri yako kwa huyu wa tatu ndio akaamua kukukabili moja kwa moja. Chunga sana na huo urafiki wenu.
   
 14. Sita Sita

  Sita Sita JF-Expert Member

  #14
  Mar 27, 2011
  Joined: Aug 25, 2008
  Messages: 1,196
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Am in Hong Kong where art thou?
   
 15. Mamushka

  Mamushka JF-Expert Member

  #15
  Mar 27, 2011
  Joined: Feb 17, 2010
  Messages: 1,609
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mshukuru mungu kwa kila jambo, kusudi la mungu halijatimia bado ndo maana matatizo yanatokea, yote hiyo ni kwa sababu mkeo yupo tu.
   
 16. Gaga

  Gaga JF-Expert Member

  #16
  Mar 27, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,565
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Wakati tu haujafika utapata wa kufanana nae atakupenda mpaka utashangaa na kujiuliza alikuwa wapi siku zote, usikate tamaa Mungu kamuwekea kila mtu mtu wake maishani
   
 17. ENZO

  ENZO JF-Expert Member

  #17
  Mar 27, 2011
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,057
  Likes Received: 552
  Trophy Points: 280
  Kaoge maji y baharini.
   
 18. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #18
  Mar 27, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 589
  Trophy Points: 280
  hiyo ni part 1 ya ushauri.
  Rudi uje umalizie.
   
 19. S

  Smoke Member

  #19
  Mar 27, 2011
  Joined: Mar 27, 2011
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Buddy, you are so smooth! Sometime dissapointment and failure can be a blessing in disguise, that a worse thing was about to come but God has taken it away because He knows you don't deserve that! Shukuru Mungu kakuepusha... na nani ajuae, pengine kulikua na hatari kubwa mbeleni?! Zidi kumtumaini na kumuamini Mungu na someday, you will meet the woman of ur dreams, bt hey, take it slowly, be cool!
   
 20. ENZO

  ENZO JF-Expert Member

  #20
  Mar 28, 2011
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,057
  Likes Received: 552
  Trophy Points: 280
  Part 2 nisaidie ww.mi vidole vinaniuma nashindwa kuandika mana leo nimecomment thread nyingi sana.
   
Loading...