Recent content by smileagain

  1. smileagain

    JamiiForums Tanzania Ijue nguvu ya Self Esteem maishani mwako!

    So tufanye vitu vinavyotufurahisha ili kupandisha self esteem
  2. smileagain

    JamiiForums Tanzania Mtaala wa Maria Montessori

    Habarini, Happy New Year Wana Jukwaa la Elimu!! Chuo gani kinatoa kozi za Ualimu wa Chekechea/awali kwa kanda ya ziwa.
  3. smileagain

    JamiiForums Tanzania Kanisa liruhusu ndoa za mke zaidi ya mmoja

    Swala la ndoa sio maamuzi ya kanisa, Ni Neno linasema hivyo kwa ajili ya tamaa Kila mtu na awe na mke wake au Mume wake( soma 1Wakorintho) tafuta pia ktk Injili Bwana Yesu Alivyozungumzia ndoa. Kama unataka Mbingu jitahidi kujifunza Neno na Kuliishi maana Mungu Hadhiakiwi.
  4. smileagain

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada: Jinsi ya kuvunja ndoa ya kikristo

    Kumdhalilisha tu mwenzake, ipo siku atamkumbuka.
  5. smileagain

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo Bahi - Dodoma nije Shinyanga....idara ya sekondari masomo chemistry na biology
  6. smileagain

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa walimu kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo Bahi - Dodoma nije Shinyanga....idara ya sekondari masomo chemistry na biology
  7. smileagain

    JamiiForums Tanzania Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

    Kwa hiyo kura zetu ndiyo maamuzi yako?! Au zitachangia tu percent fulani
  8. smileagain

    JamiiForums Tanzania Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

    Annie,mmetoka mbali hajakukosea chochote usimtelekeze tafadhali
  9. smileagain

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimekataa ndugu wa mke wangu kwenye biashara zangu, sitaki ujinga!

    Kama inawezekana wasijue moves zako,mkeo naye ajitahidi kukulinda sio kila kitu Cha kuwashirikisha ndugu zake.
  10. smileagain

    JamiiForums Tanzania SoC02 Kisasi sahihi cha kuponya jeraha lako la mapenzi kulinda afya ya akili

    Mungu Akubariki,ujumbe mzuri !!
  11. smileagain

    JamiiForums Tanzania Kama ni kweli Masanja, huu ndiyo mtihani mkubwa unahitaji kuushinda

    Aisee...nlkuwa nawaza mbona hamuoi binti wa wawatu,mbona Mzuri tu na Ni msomi pia
  12. smileagain

    JamiiForums Tanzania Wapambanaji wenzangu, Ungewezaje kui-handle hali hii?

    Kwanza pole sana. Naelewa sana unachopitia but kuwa honesty na nafsi yako. Kwa umri huo Baba na Mama wanaweza kabisa kujishughulisha na chochote,bora uwape hata mtaji wa 50,000/= mwingine auze matunda mwingine aangalie fursa zilizopo (watashauri wadau wengine). Wafanye kazi waweze kujitegemea...
  13. smileagain

    JamiiForums Tanzania Ni lini Rais Samia ataanza ziara kusikiliza kero za Wananchi?

    Afadhali mara mia ila alikuwa anaiona Tanzania anayoiongoza ipo ktk hali gani
  14. smileagain

    JamiiForums Tanzania Ni lini Rais Samia ataanza ziara kusikiliza kero za Wananchi?

    Ila mama anasafiri sana,tangu aanze urais hajatulia kabisa sijui muda wa kufanya maamuzi sahihi anaupata sangapi,muda wa kufikiria changamoto za wananchi na namna za kuzitatua,hata muda wa Ibada na Mwenyezi Mungu anaupata kweli,kila leo safari,events....na ndo ameanza tu majukumu
  15. smileagain

    JamiiForums Tanzania Israel ina haki ya Kujilinda

    Tuiombee Toba na Rehema za Mungu Israel.....sio rahisi Israel kuguswa au kupigwa,Mungu alisema watakapoenda kinyume na Mungu ndipo watapigwa,kwahiyo ili Mungu aingilie kati inabidi tuanze na toba juu ya taifa Teule la Mungu.
Back
Top Bottom