Israel ina haki ya Kujilinda

Israel ina haki ya Kujilinda

Palestine doesn't have a soil of its own,it occupied the illegal soil of Israel,now, Israel wants its soil back, Palestine grumbles internationally that they're being bullied and oppressed.
Netanyahu: “Can't say we are not facing an escalation. The intelligence we have says it is very possible that the violence will increase in the coming days"

Don’t sound so confident all of a sudden, huh? What happened Benjamin boi?
 
Al Qassam brigades announce the targeting of an "Iron Dome" battery
 
Hamas tu inamtoa kamasi alaf anataka akapigane na Iran huyu
Inaonekana Un m-under estimate Israel kwa kutumia hii vita dhidi ya Hammas. Unashindwa kujua kabisa kuwa kuna Siraha kwenye huu mgogoro Israel hawezi kuzitumia kabisa kutoka na nature ya mtu anayepigana naye,lakini endapo huu mzozo ingelikuwa ni kati ya Israel na Iran basi Siraha hizo Israel Angeliweza kuzitumia. Mfano ni Long Range Ballistic Missile,Nuclear Bunker Burster,Nevid Sayhilein Repricators,etc.Endapo Israel akitumia tu Mabomu ya kuezua ardhi pale Gazza ya NUCLEAR BUNKER BURSTER nakwambia ni masaa sita tu na Hammas haitakuwa na sehemu ya kurushia Makombora.

Kumbuka kwamba,Israel hapigani vita hivi ili kuishinda Hammas Kijeshi,laa hasha,Lengo ni kupoteza fikra za watu wasifuatilie kinachomtokea Netanyahu kupoteza Uwaziri Mkuu kwa kushindwa kuunda Serikali. Mark My Words,Israel hapigani vita hii ili ashinde bali ku-DIVERT TENSION ZA WATU Kuhusu kupingwa kwake chini kwenye uchaguzi uliopita.
 
Ukweli mchungu hapa Israel ndio 90% katumia nguvu, bado kutumia hizo silaha za sumu tu na akitumia na wao wanajiuwa
 
Inaonekana Un m-under estimate Israel kwa kutumia hii vita dhidi ya Hammas. Unashindwa kujua kabisa kuwa kuna Siraha kwenye huu mgogoro Israel hawezi kuzitumia kabisa kutoka na nature ya mtu anayepigana naye,lakini endapo huu mzozo ingelikuwa ni kati ya Israel na Iran basi Siraha hizo Israel Angeliweza kuzitumia. Mfano ni Long Range Ballistic Missile,Nuclear Bunker Burster,Nevid Sayhilein Repricators,etc.Endapo Israel akitumia tu Mabomu ya kuezua ardhi pale Gazza ya NUCLEAR BUNKER BURSTER nakwambia ni masaa sita tu na Hammas haitakuwa na sehemu ya kurushia Makombora.

Kumbuka kwamba,Israel hapigani vita hivi ili kuishinda Hammas Kijeshi,laa hasha,Lengo ni kupoteza fikra za watu wasifuatilie kinachomtokea Netanyahu kupoteza Uwaziri Mkuu kwa kushindwa kuunda Serikali. Mark My Words,Israel hapigani vita hii ili ashinde bali ku-DIVERT TENSION ZA WATU Kuhusu kupingwa kwake chini kwenye uchaguzi uliopita.
Mziki wa Iran anaufaham marekani
 
Tuiombee Toba na Rehema za Mungu Israel.....sio rahisi Israel kuguswa au kupigwa,Mungu alisema watakapoenda kinyume na Mungu ndipo watapigwa,kwahiyo ili Mungu aingilie kati inabidi tuanze na toba juu ya taifa Teule la Mungu.
 
BREAKING: HAMAS LAUNCHES BALLISTIC MISSILES AT ISRAEL
Taari wameanza kutumia ballistic missile medium range
20210513_161603.jpg
 
#BREAKING CNN: The Pentagon withdraw 120 US military and civilians from Israel ~
 
In the last couple of barrages. both Saraya Al-Quds and Hamas Al-Qassam announce they targeted Iron Dome batteries.

Hii ni chanzo kutoka Israel
 
The Jerusalem Brigades: The bombing of Sderot occurred during the visit of Israeli President Reuven Rivlin
 
Israeli terrorist regime never thought they would face an existential threat from Gaza.

They're now being taught a good lesson.

Eat all those rockets & UAVs.
 
Kama kawaida,baada ya kundi la wanamgambo wa HAMAS kuichokoza Israel kwa kufanya mashambulizi ya Rockets na Israel kujibu vikali , tayari kama tulivyotarajia mataifa mbalimbali Duniani ikiwemo na Mahakama ya uhalifu wa kivita ya ICC Uholanzi wameanza kupiga kelele Eti Palestina inaonewa.

Lakini hawataki kuwakemea wanamgambo wa HAMAS waache kurusha ma rocket ktk miji ya Israel.

Yaani kwao Israel ikipigwa sawa,ikijilinda ni kosa,wanapiga kelele kwamba watoto wa Palestina wanauawa na mashambulizi ya Israel lakini hawataki kusema ukweli kwamba hata watoto wa Israel wanauawa na mashambulizi ya Rockets za HAMAS.

Yaani hawa watu ni mabingwa wa uchokozi,wakijibiwa wanadai eti wanaonewa.

Iwe iwavyo, Israel ina haki ya Kujilinda,mlitaka ishambuliwe kisha ikae kimya?
Free Palestine
 
Mziki wa Iran anaufaham marekani
Nyie ndo mnawasababishiaga wenzenu matatizo kabla mmarekani hajaipiga Iraq story zilikuaga hivi hivi mziki wa sadam Huseni unaufahamu wewe ...so tukubali au tukatae mmarekani yupo next level aisee kwenye issue za military na hakuna nchi inaweza kumpiga kwa Sasa ...Ndo maana anaitwa super power na Allies wake wako safe
 
Hiv nani yupo nyuma ya hamas mbona mashambulizi ya rocket ya mwaka huu yanafakikiwa kuliko miaka iliopita? Bomba la kusafisha mafuta limeharibiwa, bomba la gesi pia limeharibiwa uwanja wa ndege wa ben gurio nao umeharibia kuna watu wapo nyuma ya hamas sio siri

Vipi mnaendeleaje? Bado mnarusha rockets tu au dose iongezeke kidogo mtulie?
 
Back
Top Bottom