OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 3,654
- 9,265
Je ulishawahi kutizama series ya prison break kisha ukaanza kujiona Michael Scholfield? Au umewahi kutizama movie yeyote baada ya hapo ukaanza kujiona RAMBO, JACK CHAN au VAN DAME?
Ile hali unayoipata kwa muda kitaalam inaitwa euphoria, na ndio inayoongeza apetite ya kuishi, upendf na kujithamini (self esteem). Hii hali itakufanya utamani kutizama series/movies nyingine tena na tena.
Je, umewahi kusafiri umbali mrefu kwenda kutizama game ya simba/yanga? Timu ikashinda na ukalipuka kwa furaha na kujikuta unatamani kutizama game zinazofuata tena na tena?
Basi hiyo hali inaitwa euphoria ndio inayo boost self esteem.