Recent content by smartkitochi

  1. smartkitochi

    JamiiForums Tanzania Kuelekea laini za simu zisizosajiliwa kuzimwa; Ushauri wa namna bora ya kufanya ili kutovunja sheria za nchi

    Hapo ukibonyeza 1, ndio unaifunga mwenyewe! [emoji1]
  2. smartkitochi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maamuzi ya Mo siku za karibuni yanaonyesha hana utulivu wa nafsi!

    Paul Alex, Huyo ni Bashite Sent using Jamii Forums mobile app
  3. smartkitochi

    JamiiForums Tanzania Mafanikio ya Rais Magufuli 2015 - 2021

    Mkuu, uhali gani? ... sorry, "kichwa" umeshakipata? Sent using Jamii Forums mobile app
  4. smartkitochi

    JamiiForums Tanzania Usalama wa raia na mali zao imegeuka kuwa uonevu wa raia na mali zao

    Nimesoma mpk pumzi ikakataa! .. hakuna..,!;:'"?! .. Sent using Jamii Forums mobile app
  5. smartkitochi

    JamiiForums Tanzania Usajili wa laini mchawi ni NIDA

    Kund** jingine hili.. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. smartkitochi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    United wajiandae kisaikologia ,, Sent using Jamii Forums mobile app
  7. smartkitochi

    JamiiForums Tanzania Air Tanzania tunaachwa na ndege abiria amesha-check in

    Viazi viko ving aisee [emoji2]! Umemuelewa mtoa mada au? Au wewe ndio mmojawao wanaopanda punda Kama usafir ? Sent using Jamii Forums mobile app
  8. smartkitochi

    JamiiForums Tanzania Dollar ya Marekani inashika nafasi ya tisa kwa thamani duniani

    Naomba kuulizwa, je ? Sheria ipi inaruhusu nchi husika kuchapisha noti (fedha)? .. mfano hela inapotumika inachakaa /kuchomwa etc ... Na kusababisha kutoweka ktk mzunguko, je Kama Tz inaweza kuzichapisha noti husika ama vp? Sent using Jamii Forums mobile app
  9. smartkitochi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada wa kujua Jina au kuipata movie hii

    Teh teh teee! Dunia ya ulimwengu wa 3, daah [emoji26] Sent using Jamii Forums mobile app
  10. smartkitochi

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Mtu akipotea, marufuku kuhusisha vyombo vya Dola, utakamatwa na utoe ushahidi

    Sasa Bashite alienda kufanya utekaji Clouds akiongozana na Police usiku,, halafu wewe ukamtetea na kumwambia apige kazi! .... Nyingine police walisema Tito tumemkamata, Mwingine akasema hatujamkamata,, hapo hapo wameenda kumtafuta vituo vyote haonekani!! Yule Zakaria wa Tarime walitaka kumteka...
  11. smartkitochi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sifa 10 za mwanamke mzuri anayekufaa

    Umeandika /copy maneno meeengiiii ! Anyway, mfano akawa na hio sifa namba 7 (Ucha MUNGU) pekee; unadhani haitoshi kuwa ni mke /mwanamke mwema? Kwa maana endapo akawa mcha MUNGU inamaana amesoma mafundisho yote (katika Dini either uislamu or ukristo) na akatambua kuwa :- 1. Mwaminifu 2. Kujali...
  12. smartkitochi

    JamiiForums Tanzania Wanachokifanya Azam Tv kwa kweli sio busara

    Hivi mtu akisalimu Assalamu alaikum, wewe unakereka nini? Inatakiwa Sasa na wakristo waanzishe kampuni yao ya utangazaji halafu wawe wanasalimu ... "Tumsifu Yesu kristo".. [emoji1787]! .. maana watu mna wivu na hoja za kijinga mno??!! Udini umewajaa mpk kwenye kucha aisee! Sent using Jamii...
  13. smartkitochi

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Wasukuma na Wanyamwezi wengi walikuja Zanzibar na kutorudi tena usukumani akiwemo baba yangu mkubwa

    Kuna mjinga mmoja wa CCM kule Zanzibar kwenye uzinduzi wa Hotel Verde eti akaropoka bhn,[emoji2]... " Mimi nakupenda sanaa Rais magufuli zaidi ya Mkewang"... Ooohoo,, jiwe akagomaa akasema hahaa wew hamna bana,, Meko akajua jamaa anataka kumuacha mkewe amuoe yeye...
  14. smartkitochi

    JamiiForums Tanzania Wachora ramani za nyumba mna shida gani?

    Nasubiri PM kiongozi Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom