Recent content by Smartboy

  1. Smartboy

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi kuhusu kozi ya Bsc in Range Management

    Kijana wangu ame pata hiyo kozi
  2. Smartboy

    JamiiForums Tanzania Nimepasikia sana Beach Kidimbwi. Kunani huko?

    Naomba kujua mmiliki na ni yeye anamilikia pia tips na juliana Majina yake?
  3. Smartboy

    JamiiForums Tanzania Rekodi mpya: Gunia la mahindi lafika 20,000/-

    hivi sumry aliweza kuuza yale yake.. kama bado hio itakuwa hasara ya mwaka tena.
  4. Smartboy

    JamiiForums Tanzania Mtaji wa tsh 1,000.000 (1million) nitafanya biashara gani?

    Wakuu, Nina 1m hapa naweza kuwekeza kwenye biashara gani ndogo inayolipa?
  5. Smartboy

    JamiiForums Tanzania Natafuta chumba ferry Kigamboni.

    Bei kuanzia 50-60elfu kiwe na condition nzuri...
  6. Smartboy

    JamiiForums Tanzania Natafuta chumba ferry Kigamboni.

    Ndugu zangu natafuta chumba ferry kigamboni, kiwe karibu na eneo la ferry. Mwenye kujua anitumie text 0768454139. Natanguliza shukrani,,
  7. Smartboy

    JamiiForums Tanzania Weka tukio la kutapeliwa lililokuta wewe/rafiki ili tusaidie jamii

    wakati na soma chuo kuna jamaa alitudanganya yeye ni usalama wa taifa akatuahidi kutupatia kazi mimi na jamaa yangu aliniomba 50000. nikampa akanirusha hadi wa leo
  8. Smartboy

    JamiiForums Tanzania Lowassa kufutiwa uanachama wa CCM?

    heheheheeh
  9. Smartboy

    JamiiForums Tanzania Shule Binafsi zinazotoa elimu bora ni zipi?

    st mathew mbagala iko vizuri pia
  10. Smartboy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msamaha wa dhati kutoka kwa Heaven On Desert

    mi nimekusamehe ila naona kale katabia ka kujipaisha bado unako jitahidi kuwa karibu na watu na usijiandike kwamba wewe ni smart sana jaribu kuangalia bloggers wengine wanavyopendwa na kila mtu. mfano kina millard.majid.djchoka to mention a few wewe umekalia kujisifu hapa jf badala ya kufanya...
  11. Smartboy

    JamiiForums Tanzania Mwamba wa ajabu jamani

    huyo mtoto amechongwa
  12. Smartboy

    JamiiForums Tanzania Jamhuri: Pinda agongana na bilionea Dar!

    inasikitisha sana af, haki itendeke
  13. Smartboy

    JamiiForums Tanzania Hii ngozi ina makosa gani jamani?

    hapa faiza foxy umeonyesha tu chuki zako juu ya ukristu na kwa sababu,tu wewe ni mwislam hayo maneno ya kwenye biblia hiyo sio tafsiri yake umekurupuka Yesu alikuja kwq binadamu wote
  14. Smartboy

    JamiiForums Tanzania Jimboni Kalenga: CCM wamsimamisha Geodfrey Mgimwa kugombea ubunge

    kUmbe ndo maana watoto wa viongozi ccm wanaipendq ccm, wanajua baba akifariki ana take over
Back
Top Bottom