Mkuu mbona kama sikuelewi vile, maana hapa mhasibu ndio kalawitiwa afu wewe unataka ukasomee uhasibu, hebu fafanua mkuu ili tusikuelewe vibaya.
Nyerere alipoambiwa serikali yake imewekwa mfukoni alitoa tamko kali.....
Swadaktaaaa... ila leo hii, serikali imewekwa mfukoni na kukaangwa kabisa, halafu wenyewe utawasikia hatujakutana barabarani..... Na mbaya zaidi hata hawajui kwa nini nchi ni masikini.....Hakutoa tamko pekee ila alimsweka ndani Yule mburushi then akamfukuza tanzania....
Kala mlungula chezea dola wewe
awadh kagawa kama ifuatavyo 1. nchimbi dola 10 elfu
2.kova dola elfu 7
mtoa habari ataendelea niletea habari
nami nitaweka hapa moja kwa moja
Pinda atende hili tumkumbuke inauma sana
Chezea pesa weye; unapigwa unaripoti na polisi hawafanyi kitu; na wzr mambo ya ndani kimya; na wanaharakati na watu wa haki za binadamu kimya; na.......
Siku zao zinahesabika mimi nasema hii familia ya edha ikae kwa makini. Kunachofata kisasi kitalipwa aidha kwao au familia zao. Lazima
huyo naye alikosa sehemu ya kwenda kushtaki mpaka akaende Ostabei?pale pameoza
Jamaa kwa maelezo yake kweli inaonekana alipiga hela kweli kutoka kwa Muhindi mwenzake ila hivyo vitendo alivyofanyiwa si vya kiungwana hata kidogo.
If you connect dots, utaona jamaa kweli ni aliiba.
wasiposhughulikia hili swala nachukua uraia wa nchi nyingine... siwezi kaa nchi tena chini ya viongozi wenye ujinga wa namna hii kichwani..
Nina akili timamu afu niendeshwe na mjinga.. Never
hakuna mtu aliye juu ya sheria huyu tajiri afikishwe kwenye vyombo husika kwa hatua za kisheria awajibike na mali alizochukua kinguvu azirejeshe bila masharti na afunguliwe mashtaka ya ukiukaji wa haki za binadamu bila kujali rangi ,asili na jinsia yake
Muhalifu na wenye mamlaka na fedha si ajabu kutenda aina yoyote ya unyama lakini hili la msimamizi wa haki kuwa mbele kwa rushwa ni zaidi mchango.