Rekodi mpya: Gunia la mahindi lafika 20,000/-

Rekodi mpya: Gunia la mahindi lafika 20,000/-

kuna kipindi mahindi yalikuwa yananunuliwa zambia nilishangaa sana
 
Uhakika wa kupata lishe kwa kumuumiza mkulima? Yani mkulima masikini wa mwisho kijijini auze mahindi kwa hasara ili wewe upate milo mitatu?

halafu 80% ya tz population ni wakulima unamaanisha hao wote (80%) wazidi kukandamizwa kwenye umasikini ili ww ununue unga 200tsh?

Kilimo ni biashara kama zilivyo biashara nyingine na kama ishu ni kumnufaisha mlaji bila kujali maslahi ya mzalishaji basi na mfuko wa cement uuzwe 5000, soda100, mafuta Lt 500tsh au ikiwezekana watuwekee bure kwenye magari,
Kama hayo hayawezekani why mkulima?? yeye pia anatumia rasilimali muda,mbolea,nguvu, madawa, usafiri nk kwenye uzalishaji.

Huu ni ubinafsi wa hali ya juu sana!!
hapa sina chakuongeza .....ukulima umekuwa kama utumwa tz""" wakati ndio sekta nyeti kabisaaa
 
Watanzania tunejawa laana hasa wewe mtoa mada unapayuka kama kasuku
Serikali ilipiga marufuku mahindi kuuzwa nje mpaka soko la ndani lijitosheleze ndipo yauzwe nje sasa wewe kwa akili za ko mahindi yauzwe nje yote halafu walaji wa ndani wa nunue gunia kwa 160000
Kilo iuzwe 5000 halafu kipato cha mtanzania wa kawaida hakifiiki huko siungekuja na thread za kulaumu hapa ..acheni upuuzi
 
Huyu aliyeandika ni MUONGO. Mahindi yameanza kupanda bei. Hapa Sumbawanga inaelekea 40,000 kwa gunia na mavuno mwaka huu yatakuwa mabaya. Nyie wamjini anzeni tu kujiandaa kula mlo mmoja kwa siku. Muda wa mahindi ya bure umekwisha. Tunamuomba rais JPM atoe tamko la kumpa mkulima haki yake kuuza mazao yake sehemu yoyote hapa duniani bila kupangiwa na mtu yoyote. Wakulima wamesota vya kutosha.
 
Ila huoni kwamba masikini sasa wana uhakika wa kupata walau milo miwili kwa siku?

Bei ya unga ingepanda pia ungelaumu serikali kwamba mnakufa njaa, bei ya mahindi na unga inashuka pia mnalia, mnataka nini nyinyi kasuku?
Just make simple cost-benefit analysis.Idiot.Ubongo umelala tuli hvyo ni kushangilia tu
 
hivi sumry aliweza kuuza yale yake.. kama bado hio itakuwa hasara ya mwaka tena.
 
Chakufanya sasa ni kuyachoma moto yote ili kutengeneza scarcity we all know wanaolima yakutosha kujilisha kwa msimu mzima ni wachache kuliko wanao nunua, otherwise tuzidi kuzisoma namba tu...
Dawa ni kulishia most fugo kama Nguruwe, KUKU, Bata Nk.
 
Hizi taarifa hazina uhalisia! Kwenye mitandao kila mtu anasema lake. Juzi nimenunua dona 25kg Dar kwa 19,000. Sasa unataka kuniambia gunia la kilo 100 liuzwe bei sawa na kilo 25?? Unamdanganya nani?
Hiyo sio hoja.Kununua kwako bei imanishi mahindi yana bei.Umenunua wapi?.Labda wamekufunika ndugu. Njoo uku uchukue dona 25 kwa sh 10,000/=
 
1.) Kilimo ni biashara?
2.) Nipe definition ya biashara

Ukishamaliza kujibu hayo maswali, jitukane mwenyewe
You are just advertising your foolishness shamelessly.Inahitaji wendawazimu kujibu maswali ya kitoto namna hyo
 
Chakufanya sasa ni kuyachoma moto yote ili kutengeneza scarcity we all know wanaolima yakutosha kujilisha kwa msimu mzima ni wachache kuliko wanao nunua, otherwise tuzidi kuzisoma namba tu...

hata canada walizasha ngano nyingi sana historia inasema na Europe nayo ikazalklsha kwa wingi heeeee kushtuka ngano iki nyingi wakaaamua kuimwaga baaarini ili kutengeneza scarcity
 
Chakufanya sasa ni kuyachoma moto yote ili kutengeneza scarcity we all know wanaolima yakutosha kujilisha kwa msimu mzima ni wachache kuliko wanao nunua, otherwise tuzidi kuzisoma namba tu...
Kama unaugeneous flani hivi
 
Ila huoni kwamba masikini sasa wana uhakika wa kupata walau milo miwili kwa siku?

Bei ya unga ingepanda pia ungelaumu serikali kwamba mnakufa njaa, bei ya mahindi na unga inashuka pia mnalia, mnataka nini nyinyi kasuku?
Sasa ilo ni pigo maana wakulima watakosa mitaji ya kulimia misimu mingine so tengemea hili bomu lililotegwa na makufuli kuja kulipumaka siku moja kama sio bavicha wala uvccm utaelewa
 
Umasikini mbaya ni ule wa kukosa chakula.., huu umasikini wa kushiba hadi kusaza sina shida nao sana, nenda Somalia uone watoto waliokonda kama fimbo wakigombani mahindi ya msaada toka UNHCR ndio utaona umuhimu wa mahindi kuwa mengi/ kushuka bei.
Sasa jiulize watapataje mitaji ya kulima miaka ijayo kama wamekula hasara au wewe mwenzetu umepata teuzi au unakula buku saba za lumumba zinakufanya usitumie akili zako
 
Back
Top Bottom